Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

Wakristo wa jf ni makatili na wana roho mbaya kuliko hata hao wanaowaita magaidi ..na naamini hata sura zao zinaendana na roho zao
 
Ukristo una hubiri upendo .asa ukiwa na chuki na roho mbaya hivi
Tofauti yako ww na gaidi itakua nn ?
Kupinga ugaidi sio roho mbaya ni wajibu wetu mimi na wewe. Au umesahau madhara ya ugaidi kule kibiti na Mkuranga, ama kule mikoa ya kusini karibu na mpakani mwa msumbiji?!
 
Umesoma Quran wewe? kamuambie Aliyemleta Allah Duniani afiche aibu zake
Iblis Allah amewaambieni Mtuue Quran ya Shetani aya 2:191
Wauweni popote muwakutapo, na watoeni pale walipokutoeni, kwani Fitnah ni kali zaidi kuliko kuua. Hata hivyo, msipigane nao karibu na Al-Masjid-ul-Harām (Msikiti Mtakatifu wa Makka) isipokuwa watakupigani hapo. Lakini wakipigana nanyi (huko) mnaweza kuwaua. Hayo ndiyo malipo ya makafiri.

Quran ndio inataka kuua.. so waambie wazazi wako ndio waache kusoma quran ili wawe watu wazuri Hamas ni watumwa wa Shetan wa Mecca Allah
 
Psychologically video!! Ni Propaganda za Hamas kuficha uovu wao walioufanya Oct 07,2023
 
Netanyahu Anawaelewa maadui zake sawa sawa!
Nashangaa hao wanaotaka amalize vita!; JEE Ili ma-abdull wajipange upya na kuivamia Tena Israel na kuchukua mateka zaidi??
Hawajasoma agizo la muham mad aka allah akiwaagiza ma-abduls kwamba Adui Yao mkubwa zaidi kuliko shehetan ni Yahudi!🙄😇😜
👇👇
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 

View: https://x.com/warmonitors/status/1832096751039476048?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…