zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Ukristo una hubiri upendo .asa ukiwa na chuki na roho mbaya hiviNi almost 40k na asilimia kubwa ni magaidi Hamas.
Tofauti yako ww na gaidi itakua nn ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukristo una hubiri upendo .asa ukiwa na chuki na roho mbaya hiviNi almost 40k na asilimia kubwa ni magaidi Hamas.
Wakristo wa jf ni makatili na wana roho mbaya kuliko hata hao wanaowaita magaidi ..na naamini hata sura zao zinaendana na roho zaoWe jamaa futa hii kuficha aibu ya wazazi wako kukuleta duniani. Mtu kudai haki zake anakuwaje gaidi? Unavamia ardh yake unauwa watu wake anajitetea bila ya silaha anakuwaje gaidi? Wazazi wako wangegundua mapema kuwa wameleta duniani kiumbe hovyo nina hakika wangeafikiana wakutumbukize chooni kurekebisha makosa yao
Kupinga ugaidi sio roho mbaya ni wajibu wetu mimi na wewe. Au umesahau madhara ya ugaidi kule kibiti na Mkuranga, ama kule mikoa ya kusini karibu na mpakani mwa msumbiji?!Ukristo una hubiri upendo .asa ukiwa na chuki na roho mbaya hivi
Tofauti yako ww na gaidi itakua nn ?
Umesoma Quran wewe? kamuambie Aliyemleta Allah Duniani afiche aibu zakeWe jamaa futa hii kuficha aibu ya wazazi wako kukuleta duniani. Mtu kudai haki zake anakuwaje gaidi? Unavamia ardh yake unauwa watu wake anajitetea bila ya silaha anakuwaje gaidi? Wazazi wako wangegundua mapema kuwa wameleta duniani kiumbe hovyo nina hakika wangeafikiana wakutumbukize chooni kurekebisha makosa yao
Mafunzo ya Allah Hayo... Iblis pembeni amerest anatizama anasema Good job Allah Good Job
Hata Iran kulifanyika maandamano makubwa sana.. Israel hapo walizodi sana laki 3.. hao wanauchungu na ndugu zao kuliko nchi.. Dunia yote hakuna mazungumzo dhidi ya watekaji.. hukumu ya Hamas ni kifo tu..
tumlaumu aliua bahati mbaya au aliyeteka makusudi kwa miez 10 sasa
Wanaukumbi.
Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel
"Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?"
Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF huko Gaza.
===============
Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza.
Hivi sasa kuna hasira kubwa ya umma ndani ya 'israel' dhidi ya Netanyahu
View: https://x.com/suppressednws/status/1830012312352407849?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Psychologically video!! Ni Propaganda za Hamas kuficha uovu wao walioufanya Oct 07,2023
Netanyahu Anawaelewa maadui zake sawa sawa!Hao mateka waliuawa na hao magaidi wa Hamas na hao magaidi wakapanga kuisingizia Israel ili wawachonganishe na wananchi wao.
Mimi sasa nailaumu Israel kwani wamezidi huruma ilitakiwa sasa hivi wawe wamewaua wapalestina zaidi ya milioni moja badala ya hao 40,000+ tu, wanacheza nao na naona hii Israel ya sasa sio ile tunayoisoma kwenye biblia, hawa magaidi leo wangeishaisha wote.
Netanyahu Anawaelewa maadui zake sawa sawa!
Nashangaa hao wanaotaka amalize vita!; JEE Ili ma-abdull wajipange upya na kuivamia Tena Israel na kuchukua mateka zaidi??
Hawajasoma agizo la muham mad aka allah akiwaagiza ma-abduls kwamba Adui Yao mkubwa zaidi kuliko shehetan ni Yahudi!🙄😇😜
👇👇
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.