Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel
"Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?"
Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF huko Gaza.
===============
Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza.
Hivi sasa kuna hasira kubwa ya umma ndani ya 'israel' dhidi ya Netanyahu
View: https://x.com/suppressednws/status/1830012312352407849?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw