sumer
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 344
- 229
Kesha sana ukiomba linda sana nyeti zako kuliko.....upo sawaAisee! Hii hatari sana. Usiombe yakukute.
Wito: Linda nyeti zako kwa nguvu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesha sana ukiomba linda sana nyeti zako kuliko.....upo sawaAisee! Hii hatari sana. Usiombe yakukute.
Wito: Linda nyeti zako kwa nguvu zote
Hao wadudu walivyo na njaa wanatafuna adi condom yenyewe.ni kuwa mpole tuMm sili kavu tena
Mara nyingi utaambiwa uti he ukikojoa usaha unatoka,could be urethral discharge syndrome au gonorrhoea![]()
Wakuu nimepitia maabara kupima mkojo nipewa majibu hayo hapo hili litakuwa ni tatizo gani?
Asante mkuuP cell: pus cells in urine.
So iyo ni UTI
Kweli, Asprin ni dawa ya kitambo sana. Shurti iitwe babu.Ungekuwa unanifahamu vizuri, naamini ungeanza kwanza na kunipa heshima stahili kama wanayonipa wajukuu zangu wengine. Nimeshazoea kuamkiwa "shikamoo babu".
Kama una nidhamu, najua utanitaka radhi kuniita mtoto.
Poa mkuuKesha sana ukiomba linda sana nyeti zako kuliko.....upo sawa