Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

f334c05aeb727c582fc790cb4ec73465.jpg


Wakuu nimepitia maabara kupima mkojo nipewa majibu hayo hapo hili litakuwa ni tatizo gani?
Mara nyingi utaambiwa uti he ukikojoa usaha unatoka,could be urethral discharge syndrome au gonorrhoea
 
Duuh! Bora mm dume suruali au ndio aliyosema darasa kuwa K yenye TV ndani
 
Unafikiri mtu hadi kufikia stage hiyo atakua hajakwenda Hospital?? kazunguka hospitali zote wameshindwa, njoo kwetu huku SUMBAWANGA utapona ndani yawiki 1. wamelogwa hao
 
Ungekuwa unanifahamu vizuri, naamini ungeanza kwanza na kunipa heshima stahili kama wanayonipa wajukuu zangu wengine. Nimeshazoea kuamkiwa "shikamoo babu".

Kama una nidhamu, najua utanitaka radhi kuniita mtoto.
Kweli, Asprin ni dawa ya kitambo sana. Shurti iitwe babu.
 
Magonjwa ya zinaa katika stage mbaya!
Itakua inauma sana!!
 
ngwengwe hiyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom