ndy uache sasa alaaaDah mnatuumiza tunaozamia chumvini
syphilis stage 3
No 1...syphilis stage 3....ya pil n genital wats
Huo ni ugonjwa wa zinaa either ni condyloma accuminata(caused by HPV virus) or condyloma lata as manifestation of syphilis. So ukifanya examination utaweza kutofautisha or ukofanya RPR for syphilis.. Zote aina mbili zinaambukizwa through sexual intercourse. Na tiba mostly wanafanya cryotherapy
Huu ugonjwa unaitwa Genital Warts ugonjwa huu huambukizwa na Virus ambao uitwa Papinomavirus
Mkuu Asprin Angalia idadi wamesema ni ugonjwa gani.Madaktari wa JF mnatuchanganya wajameni...
Sijui nani hapo anasema ukweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ugonjwa unaitwa kwa lugha ya mitaani katibu kata
Ohoooo!!!Unamjua mdudu genye?
HoyeeeeeeeCHAPUTA hoyeeeeeeeeee
Unatibika huo na unarudi kuwa poa.Kama mimi nina huu ugojwa nakunywa sumu nakufa maana hakuna namna.
Kama huyu hapa chini, hebu msome ...Mkuu Asprin Angalia idadi wamesema ni ugonjwa gani.
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
Ohoooo!!!Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
Kama huyu hapa chini, hebu msome ...
Je unatibika ?Huo ni ugonjwa wa zinaa either ni condyloma accuminata(caused by HPV virus) or condyloma lata as manifestation of syphilis. So ukifanya examination utaweza kutofautisha or ukofanya RPR for syphilis.. Zote aina mbili zinaambukizwa through sexual intercourse. Na tiba mostly wanafanya cryotherapy