Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Huo ugonjwa niliwahi kusikia Unaitwa sundo sundo labda kma una ndugu au ww mwenyewe mwenye ugonjwa huo basi wahi hospitali haraka sana
 
syphilis stage 3
No 1...syphilis stage 3....ya pil n genital wats
Huo ni ugonjwa wa zinaa either ni condyloma accuminata(caused by HPV virus) or condyloma lata as manifestation of syphilis. So ukifanya examination utaweza kutofautisha or ukofanya RPR for syphilis.. Zote aina mbili zinaambukizwa through sexual intercourse. Na tiba mostly wanafanya cryotherapy
Huu ugonjwa unaitwa Genital Warts ugonjwa huu huambukizwa na Virus ambao uitwa Papinomavirus

Madaktari wa JF mnatuchanganya wajameni...

Sijui nani hapo anasema ukweli??
 
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
 
1. syphilis
2.genital warts
lakin kwa iyo sphilis ipo kwenye stage mbaya ni kiwai hospital na kwa upande wa genital wart inatibika vizur tu.
muhusika fanya ustaarabu wa kuwahi hospital usione aibu ayo ni magonjwa yakawaida kama magonjwa mengine.
 
Mkuu Asprin Angalia idadi wamesema ni ugonjwa gani.
Kama huyu hapa chini, hebu msome ...

Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
 
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
Ohoooo!!!
 
Kama huyu hapa chini, hebu msome ...

Asprin;
We mtoto unajifunza kuandika halaf unasoma mambo ya wakubwa?? Kwanza fumba macho usiitazame hiyo picha ukaota usiku. Acha makambaku yalozoea jembe la kulimia. Yalishakutana na visiki vingi kama hizo picha na yakapona.
 
Huo ni ugonjwa wa zinaa either ni condyloma accuminata(caused by HPV virus) or condyloma lata as manifestation of syphilis. So ukifanya examination utaweza kutofautisha or ukofanya RPR for syphilis.. Zote aina mbili zinaambukizwa through sexual intercourse. Na tiba mostly wanafanya cryotherapy
Je unatibika ?
 
Back
Top Bottom