Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Asprin;
We mtoto unajifunza kuandika halaf unasoma mambo ya wakubwa?? Kwanza fumba macho usiitazame hiyo picha ukaota usiku. Acha makambaku yalozoea jembe la kulimia. Yalishakutana na visiki vingi kama hizo picha na yakapona.

Ungekuwa unanifahamu vizuri, naamini ungeanza kwanza na kunipa heshima stahili kama wanayonipa wajukuu zangu wengine. Nimeshazoea kuamkiwa "shikamoo babu".

Kama una nidhamu, najua utanitaka radhi kuniita mtoto.
 
Inashambulia sehemu ya siri tu au hata kwa mdomoni kwa wale wanaoonja chumvi??
 
Asprin;
We mtoto unajifunza kuandika halaf unasoma mambo ya wakubwa?? Kwanza fumba macho usiitazame hiyo picha ukaota usiku. Acha makambaku yalozoea jembe la kulimia. Yalishakutana na visiki vingi kama hizo picha na yakapona.
Duh!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Tena umpate aliepiga gongo ikamchosha nywele lainiii ka za kisomali, anakutandika sindano kama katutana na maksai jeuri, lazma network ipotee kwa masaa kadhaa ila system ikirudi, unakuwa mpyaaaaaa, unatandika papuchi ka umemeza viagra
 
Mkuu;
Tulikutana na maswahibu hayo saana tu na tukatoka wapyaaaa. Waende huko kunako tafiti waone ka watapona.
 
Mkuu;
Tulikutana na maswahibu hayo saana tu na tukatoka wapyaaaa. Waende huko kunako tafiti waone ka watapona.
Unachokisema mkuu kina ukweli dhahiri, kuna jamaa angu mmoja nusura kichwa kikatike sababu ya hii mambo, kilichomuokoa ni sindano toka kwa daktar wa mifugo, ilibidi adungwe sindano za mbwa ndo ikawa salama yake, sa izi yuko form vibaya.
 
Madaktari wa JF mnatuchanganya wajameni...

Sijui nani hapo anasema ukweli??
Huwezi kuelewa kwa haraka mpaka nngekuwa umepiga kashule kidogo ka meds all in all genital wart kwa mdada huyo picha ya chini na huyo mkaka unaweza kuwa syphills katika stage ya 1 kuelekea ya pili,maana stage ya 3 ya kaswede huwa ni kwenye neurone,kwa Dada matibabu ni kuziondoka through surgery au cream special poleni ngono zembe ni hatari
 
Hivi vitu mbona vimeiva ivi kweli hapana kupambanisha
 
Shukrani kwa maelezo yaliyotukuka...

Ila hapo red, kwanini unanipa pole?? Kuna mtu alikudanganya mi huwa nafanya ngono zembe??
 
Ungekuwa unanifahamu vizuri, naamini ungeanza kwanza na kunipa heshima stahili kama wanayonipa wajukuu zangu wengine. Nimeshazoea kuamkiwa "shikamoo babu".

Kama una nidhamu, najua utanitaka radhi kuniita mtoto.
Hajui ww umeugua haya magonjwa toka serikali ya awamu ya kwnz
 
Hajui ww umeugua haya magonjwa toka serikali ya awamu ya kwnz
Na enzi hizo ukiugua ulikuwa unatamba kitaa... kwamba wewe ni kitombi.

Siku hizi watu wanaona aibu kukutwa na haya magonjwa ya kujilipua kishujaa... Hahahaha LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…