Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Pata picha ulikuwa unakula ukakakutana na hzo picha
 
Genital warts..huwa si fungal infection.
It caused by human papilloma viruses

905692f8b6ed87b73d73aded6add7339.jpg
Screenshot_2017-02-20-22-49-47.png
Screenshot_2017-02-20-22-50-07.png
Screenshot_2017-02-20-22-50-30.png
Screenshot_2017-02-20-22-50-55.png
Screenshot_2017-02-20-22-51-21.png
Screenshot_2017-02-20-22-51-31.png
Screenshot_2017-02-20-22-51-41.png
Screenshot_2017-02-20-22-51-50.png
Screenshot_2017-02-20-22-52-00.png
Screenshot_2017-02-20-22-52-13.png
Screenshot_2017-02-20-22-52-25.png
Screenshot_2017-02-20-22-52-40.png
Screenshot_2017-02-20-22-52-49.png
Screenshot_2017-02-20-22-52-58.png
Screenshot_2017-02-20-22-53-22.png
Screenshot_2017-02-20-22-53-29.png
Screenshot_2017-02-20-22-53-37.png
Screenshot_2017-02-20-22-53-45.png
 
Acheni ngono zembe. Mnatupa madaktari kazi kubwa. Apitie kwa umakini then aje na comment njia gani inayofaa. By Dr. Ngada.
 
Jamani hii mada imeingiliwa na watu wa tiss. Kuweni makini. Nilicyoweka picha nikakuta sms ifuatayo kutoka namba. Ikiandika sender name Info: namba yenyewe ni 4636. Nimestuka.
 
Mungu wangu, nmesisimka mwili mzma, hyo mwanamke ana genital warts alafu mpaka zinafkia hio stage alikua wap kwenda Hospital?

Alikuwa anasubiri hadi huo ' Ukuta ' wa Berlin unaoonekana hapo ujengeke vizuri.
 
Madaktari wa JF mnatuchanganya wajameni...

Sijui nani hapo anasema ukweli??

Hapo utakuta wa Kwanza kasoma Muhimbili, wa Pili IMTU na huyo wa Tatu kwa Kairuki sasa kazi Kwako ' kujiongeza ' Mkuu.
 
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako

Kwahiyo waende mbali na Watu kwakuwa baada ya kuchomwa hiyo Sindano ndiyo atakuwa ' Kichaa ' kwa muda au?
 
duuuh! juzi tu nimetoka kusoma hii kitu leo nakutana nayo tena humu ndani [emoji32] , huu ugonjwa ni hatari sana jamani tena ni hatari mno kwa wanaopenda 0713
 
Wakuu habari.

Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi.

Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu.

Kwa mwenye ufahamu je huu ni ugonjwa gani? Unaambukizwaje? Na tiba yake ni ipi?

View attachment 472303

View attachment 472304
Naona huu ni ugonjwa wa nyani jike! Kundu jekunduuu! Pole muhathirika
 
Back
Top Bottom