Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Hiyo muneno dawa hailisi ni kuipambanisha, mashine inangurumishwa mpaka madude yote yanatoka
 
Huo ni ugonjwa wa zinaa either ni condyloma accuminata(caused by HPV virus) or condyloma lata as manifestation of syphilis. So ukifanya examination utaweza kutofautisha or ukofanya RPR for syphilis.. Zote aina mbili zinaambukizwa through sexual intercourse. Na tiba mostly wanafanya cryotherapy
Cryotherapy ndio nin mkuu
 
1. syphilis
2.genital warts
lakin kwa iyo sphilis ipo kwenye stage mbaya ni kiwai hospital na kwa upande wa genital wart inatibika vizur tu.
muhusika fanya ustaarabu wa kuwahi hospital usione aibu ayo ni magonjwa yakawaida kama magonjwa mengine.
Mkuu, ina maana hizo nyeti zote bado zitakuja kutumika tena kwa matumizi yake ya kawaida? Kweli? Duh......[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
Mkuu hivi lile dawa zito kama asali likiingia matakoni si unakufa kabisa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
hiyo k huo ugonjwa unaitwa genital wats ni matokeo ya fungus na uti sugu inatibika wahi hosp mapema..... pole

Mapema how? At this stage kuna neno mapema kweli? Mapema kwenye Penis na Vagina ni pale anapoaanza kupatwa na mwasho kisha kipele kimoja!
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][
 
Mkuu, ina maana hizo nyeti zote bado zitakuja kutumika tena kwa matumizi yake ya kawaida? Kweli? Duh......[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
endapo atachukua hatua ya kwenda hospitali atapona vizuri tu, ingawa kuna kaugumu kidogo kwenye iyo syphilis
 
Ungekuwa unanifahamu vizuri, naamini ungeanza kwanza na kunipa heshima stahili kama wanayonipa wajukuu zangu wengine. Nimeshazoea kuamkiwa "shikamoo babu".

Kama una nidhamu, najua utanitaka radhi kuniita mtoto.
huyu dogo hana adabu
 
hiyo k huo ugonjwa unaitwa genital wats ni matokeo ya fungus na uti sugu inatibika wahi hosp mapema..... pole
Kuna dawa fulani kama mafuta hivi huwa wanatumia mahosp kuvichoma inauma balaa ataita majina yote mwee mwee heri kuoa au kuolewa kuliko kuaka tamaa
 
Back
Top Bottom