Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Na kwa kifupi ukitumia choo cha kukaa ambacho anakitumia huyo mgonjwa lazima ukupate hata yale maji maji yake akikuingia tu ni soo
Kwa kifupi tuache ngono holela jamani kama una mchumba au mke wako tulia nae, manake ninachokiona hapo hata ukitumia kinga still bado kuna possibility ya kupata hayo magonjwa.
 
Wanaume muwe makini sana na hakikisheni mnaitizama papuchi vizuri.. Na Wanawake make sure mnavisha wanaume Condom.
 
HUU UGONJWA UNAITWA GYNOMEA....UNAAMBUKIZWA KWA KUANGALIA PICHA,KWAHIYO WOTE MLIONGALIA PICHA TAYAR MJIPIME
 
Bora hilo gegedo lakini hiyo papuchi[emoji85] [emoji85]
Ee mungu mponye mja wako,,mkuu pole sana ngoja madoctor waje ,
 
Hicho kinaitwa silver nitrate pensil hicho kinatumika maeneo ya ngozi nyeusi huko V.I.P ni podofylin ina asilimia yake na ndio maana huwezi uziwa bila cheti cha dr na ina bei na unapakwa na dr au nurse
 
Uko sahihi kabisa hujakosea point...ila watakuja wabishaji
 
podophln soln chemical ndio dawa... ila inakuacha na mchubuko
Ndio maana inatakiwa akuhudumie nusre au dr manake ikishamaliza kazi una paka silverex cr na antibiotic unameza ili kukausha kidonda na kuuwa bakteria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…