Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Na kwa kifupi ukitumia choo cha kukaa ambacho anakitumia huyo mgonjwa lazima ukupate hata yale maji maji yake akikuingia tu ni soo
Kwa kifupi tuache ngono holela jamani kama una mchumba au mke wako tulia nae, manake ninachokiona hapo hata ukitumia kinga still bado kuna possibility ya kupata hayo magonjwa.
 
Wanaume muwe makini sana na hakikisheni mnaitizama papuchi vizuri.. Na Wanawake make sure mnavisha wanaume Condom.
 
HUU UGONJWA UNAITWA GYNOMEA....UNAAMBUKIZWA KWA KUANGALIA PICHA,KWAHIYO WOTE MLIONGALIA PICHA TAYAR MJIPIME
 
Wakuu habari.

Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi.

Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu.

Kwa mwenye ufahamu je huu ni ugonjwa gani? Unaambukizwaje? Na tiba yake ni ipi?

View attachment 472303

View attachment 472304
Bora hilo gegedo lakini hiyo papuchi[emoji85] [emoji85]
Ee mungu mponye mja wako,,mkuu pole sana ngoja madoctor waje ,
 
kuna kidude fulani kam peni, halafuwanakupaka mafuta ya vaseline ndo wanavigusa kimoja kimoja wanakichoma...
unakua unaskia ok tu..
baada ya hapo ,kama dk5 vinawasha moto utaomba uzame ardhini, hosp inabidi kuwe karibu wallah...
the unaambiwa ukae kwenye beseni la maji yaliyochanganywa na detol vinabanduka kila siku mpaka viishe
Hicho kinaitwa silver nitrate pensil hicho kinatumika maeneo ya ngozi nyeusi huko V.I.P ni podofylin ina asilimia yake na ndio maana huwezi uziwa bila cheti cha dr na ina bei na unapakwa na dr au nurse
 
Sasa wewe mwanaume; unamfaham afisa mifugo yeyote kichaa? Mwendee ndiye dakitari wa hii kitu. Ila aamue muende mbali na watu. Akudunge ml.5/10kg BW za broad spectrum antibact. ulale hapo hapo masaa 4-6. Ukitoka hapo. Kidume kama kazi. Huko hosp ni uongo tu. Kitu itakatika hiyo. Pole zako
Uko sahihi kabisa hujakosea point...ila watakuja wabishaji
 
podophln soln chemical ndio dawa... ila inakuacha na mchubuko
Ndio maana inatakiwa akuhudumie nusre au dr manake ikishamaliza kazi una paka silverex cr na antibiotic unameza ili kukausha kidonda na kuuwa bakteria
 
Back
Top Bottom