Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Izo picha nishawahi kuziona zamani kwenye sinema katka kampeni za magonjwa ya ngono.... Izo ni miongoni mwa athar za magonjwa ya ngono has a ugonjwa unapokuwa sugu kwa kuchelewa Tina....
 
Huo ugonjwa nibalaaa wakuu
Uliuguaga
Huwezi kuelewa kwa haraka mpaka nngekuwa umepiga kashule kidogo ka meds all in all genital wart kwa mdada huyo picha ya chini na huyo mkaka unaweza kuwa syphills katika stage ya 1 kuelekea ya pili,maana stage ya 3 ya kaswede huwa ni kwenye neurone,kwa Dada matibabu ni kuziondoka through surgery au cream special poleni ngono zembe ni hatari
 
Hiyo Papuchi ilivyoharibika haitamaniki, hata Kama ndo unaambiwa ni Papuchi ya Malkia hiyo, inahitaji Dushe then utapewa 5% ya sehemu ya Utajiri wa UK, ntamwammbia Malkia, I'm sorry!!!
[emoji85]
 
Hiyo ni Syphillis stage ya 3
Hiyo ni kaswende stage kubwa ya 3!
Baada ya hapo usipo pata tiba haraka itakimbilia kwenye ubongo na utakuwa chizi na hautapona tena!
Huko machimboni kwenye migodi kuna vichaa wengi sana sababu ya kaswende isiyopata matibabu
 
f334c05aeb727c582fc790cb4ec73465.jpg


Wakuu nimepitia maabara kupima mkojo nipewa majibu hayo hapo hili litakuwa ni tatizo gani?
 
hiyo k huo ugonjwa unaitwa genital wats ni matokeo ya fungus na uti sugu inatibika wahi hosp mapema..... pole
Mh ukipona sura ya sehemu husika itakuwaje itarejea kwenye hali yake mubashara kweli?
 
Back
Top Bottom