POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Kuna watu wanatuona sisi watz hatunazo ila hawajui tu kua kukaa kwetu kimya wasituchukulie poa hizi drama za kuona eti tatizo la nchi hii ni chadema wakawandanganye wake zao
 
Hiyo sura tu sio ya Heche.
Mafisadi na machawa wao wanatapa tapa sana 🚮
 
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja

Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana!

NB:
Modes acheni kufuta nyuzi zinazohusu hii habari,siweki picha ya kitima na heche bali video ya mwaipopo na madai yake
Maana mko fasta kufuta nyuzi za hivi
 

Attachments

  • 2026_01_09_16_00_32.mp4
    64.4 MB
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja

Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana!

NB:
Modes acheni kufuta nyuzi zinazohusu hii habari,siweki picha ya kitima na heche bali video ya mwaipopo na madai yake
Maana mko fasta kufuta nyuzi za hivi
 
Hivi kati ya fr. Kitima na Heche nani anastahili kupewa fedha na mwenzake? Unadhani fr. Kitima ni sawa na shekhe Majini au shekhe ubwabwa?
 
Yeye alikuwa ni shahidi wakati wanapeana hizo pesa! Au ndiyo tuziamini akili zile zile zilizohamia tumboni baada ya kulishwa sahani za ubwabwa?
 
Mewi popi anatafuta deal

Mwambieni pesa imeisha haoni wameanza kutumbuana?

Game is over!
 
Kwamba ni nani anampa nani Pesa? Kwamba milioni 100 ni sawa na matako yake kuwa kila mtu anayo?
 
Ukiona mnyakyusa muislam kaa mbali sana.....ni mtu mshenzi sana
 
Mimi sijaweka picha ya kitima na heche,elewa
Mimi nimeweka habari ya mwaipopo
Hiyo habari ni ya UONGO, ndio sababu mwanzo iliambatanishwa na picha za uongo, za kutengenezwa halafu tapeli Mwaipopo akadai imepigwa kwenye tukio.

Baada ya Uongo wa maandamano ya 'WAKATOLIKI BANDIA' kubuma, sasa mnakuja na propaganda mpya kila saa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…