POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
1, Anachanganya dini na Siasa, wakati Waislamu wanalalamika ukandamizaji miaka ya 90, tuliambiwa na wakatoliki tunachanganya dini na siasa.
2. Yeye kama anavyojinasabisha ni kiongozi wa kidini, basi akisimama kwenye misa aongolee yesu na dini yake, kama hawawezi avue majoho na kuingia uwanjani mzimamzima kama mwanasiasa sio anajificha kwenye dini na kulialia akipelekewa moto
3. Kama anataka kuikosoa serikali, aaanzishe chama chake hata akikiiita chama cha ukombozi wa waanakondoo poa tu ili mradi tujue kaingia uwanjani aanze kula mabanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…