Pichani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Vatican 1963

Pichani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Vatican 1963

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rais was kwanza wa Tanzania Mwalimu Nyerere alitembelea Vatican 1963 na kuonana na Baba Mtakatifu.Papa Yohane VI

Nimekuwekea picha

FB_IMG_16479761615447232.jpg
 
Ni Rais na ni kiongozi wake wa kiroho.. hapo alipiga goti kama kiongozi wa kiroho
Alipiga goti kwa mamlaka inayowakilishwa yaani ni sawa na Padre anapokuwa ibadani au pale anapotamka maneno ya kubadili mkate kuwa divai, si yeye anabadili bali anasimama kwa niaba ya mamlaka anayoiwakilisha.. 🙏🙏
 
Back
Top Bottom