Pichani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Vatican 1963

Pichani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Vatican 1963

Kwa taarifa yako hata Charlemagne, Henry VI (au VII), Charles V, Isabella, Hitler, n.k nao walipiga goti.

Na si hivyo tu, leo Uarabuni nako wanampigia goti japo inaweza isiwe literally. Nguvu ya Pope ni usipime kabisa.
 
Hapo ndo alienda kuwasaliti waislamu waliomuweka madarakani akaja akawageuka kama hawajui
 
Pale BAKWATA kuna kiongozi yoyote mwenye walau Degree ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Kusini Mtwara, Lini
Kuna Mnyama Anaitwa Lipyoto Huyo Akienda Kisimani Kunywa Maji Akimaliza Anayaruga Maji Kisimani Mpaka Yasinyweke

Haa Mpaka Sasa Hivi Umepiga Mzinga Wa Nyuki Jiwe Jiandae
 
Back
Top Bottom