Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

Hapo sawa, maana sitaki kuamini huyu manzi ndiyo aliyeanza naye maisha huko kwao Ileje​
Yule aliezaa nae alimkimbia wakati yupo kwenye hustle na Supika lake pale Sinza anawapigia kelele Walevi wanamuingiza Bar anaanza kupiga kelele mkewe akalala mbele na mtoto wake achana na huyo sister du, huyo sio yule aliezaa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…