Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
KafikaWanawake wanataka leoleo, ya kesho utajiju.
One huyu kakuta kila kitu mezani, unadhani atamkimbia?
KafikaWanawake wanataka leoleo, ya kesho utajiju.
One huyu kakuta kila kitu mezani, unadhani atamkimbia?
Du mtume anakula utamu mzuri sana aisee. Mbona haonekani madhabahuni au huwa anakaa tu nyumbani akimsubiri mtu aje ale ndio ale? Limtume linajua kuchagua balaa!Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Sio Mnyaki huyo Tapeli lakini amkeni ni wa kule alipokufa Rais wao Mstaafu akiwa SANilitaka kuuliza swali kama hili sema umeniwahi
Wewe bado sana. Ila nashukuru kwa kutambua mimi ni Mzee sasa. Vijana endeleeni kujifunza.Huwezi nidanganya mzee tulia nikuambie ile k nitube utofauti wake ni mdogo sana kam wembamba it means tube ni ndogo au pana wengine maji na kavu but raha ni ileile hata kiwete ni mtamu awe hana masikio ni mtamu therefore kuku ni kuku tu akiungwa analika
Mimi chakujifunza hapo tuziepuken tamaa na kuridhika na mke mmoja huyo huyo kwasabab unaweza kuona good conteiner with nothing ensideWewe bado sana. Ila nashukuru kwa kutambua mimi ni Mzee sasa. Vijana endeleeni kujifunza.
Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Cheupe dawaPichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Mwamposa ni Public figure Mkuu..Kuna watu wanawalaumu hakina Gekul au maafande ambao wanawatia adabu wajuaji wanaowafuata wenza wao.
Yaani we unaona sawa kumuanika mke wa mtu na kujitapa dhamira zako kwake.
Ndio maana wengine uwa atueleweki tunapounga mkono hasira za hakina Gekul au maafande.
Una post kabisa picha ya mke wa mtu; halafu unadhani ni sahihi kumjadili kama mwanamke fulani cheap.
Mumewe akujue, akuache salama.
Kiwango cha ujinga wa watu wa chit-chat is beyond me.
Mnamazoea ya aina yenu siyo ya kila mwanaume. Sasa ngoja mwenyewe akujue.
Watu wa chit-chat msipende mazoea na watu na kuchukulia vitu poa.
Una post kabisa picha ya mke wa mtu na kumwanika mke wake kama vile poa tu.
Wa awali ni nani huyo?Huyu na yule wa awali aliyemkimbia kisa Hana pesa nani mkali
Hakika, umenena vyema.Kuna watu wanawalaumu hakina Gekul au maafande ambao wanawatia adabu wajuaji wanaowafuata wenza wao.
Yaani we unaona sawa kumuanika mke wa mtu na kujitapa dhamira zako kwake.
Ndio maana wengine uwa atueleweki tunapounga mkono hasira za hakina Gekul au maafande.
Una post kabisa picha ya mke wa mtu; halafu unadhani ni sahihi kumjadili kama mwanamke fulani cheap.
Mumewe akujue, akuache salama.
Kiwango cha ujinga wa watu wa chit-chat is beyond me.
Mnamazoea ya aina yenu siyo ya kila mwanaume. Sasa ngoja mwenyewe akujue.
Watu wa chit-chat msipende mazoea na watu na kuchukulia vitu poa.
Una post kabisa picha ya mke wa mtu na kumwanika mke wake kama vile poa tu.
Kaoa lini? Ndoa imefungwa wapi? Jamaa anaziniPichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Hilo sipingi umaarufu una gharama.Mwamposa ni Public figure Mkuu..
Atasifiwa, atatukanwa, atapendwa, atachukiwa, atasengenywa, atazushiwa n.k..
Hizo ndiyo gharama za kulipa ukiwa Maarufu..
Hebu nirudi nyuma nimcheki vizuri, naona kama medi inni Singida shingo ya upanga kiuno cha dondola vile, kwa picha hii nahamia hemani kwani kumenoga.Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Wewe baba yako alioa lini? Mbona ulizaliwa kabla hajamuoa mama yako, acha hizo, mke ni mke ndoa ni majaliwa kwani hata Adamu hatukushetehekea ndoa yake, alipewa tu.Kaoa lini? Ndoa imefungwa wapi? Jamaa anazini
Unakujua unachikiongea?Wewe baba yako alioa lini? Mbona ulizaliwa kabla hajamuoa mama yako, acha hizo, mke ni mke ndoa ni majaliwa kwani hata Adamu hatukushetehekea ndoa yake, alipewa tu.
Unakumbuka ulichouliza? Umeuliza "kaoa lini?".Unakujua unachikiongea?