Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

Kuna watu wanawalaumu hakina Gekul au maafande ambao wanawatia adabu wajuaji wanaowafuata wenza wao.

Yaani we unaona sawa kumuanika mke wa mtu na kujitapa dhamira zako kwake.

Ndio maana wengine uwa atueleweki tunapounga mkono hasira za hakina Gekul au maafande.

Una post kabisa picha ya mke wa mtu; halafu unadhani ni sahihi kumjadili kama mwanamke fulani cheap.

Mumewe akujue, akuache salama.

Kiwango cha ujinga wa watu wa chit-chat is beyond me.

Mnamazoea ya aina yenu siyo ya kila mwanaume. Sasa ngoja mwenyewe akujue.

Watu wa chit-chat msipende mazoea na watu na kuchukulia vitu poa.

Una post kabisa picha ya mke wa mtu na kumwanika mke wake kama vile poa tu.
Relax, hata ya mke wa Trump imo humu na Trump mwenyewe kachangia na kusifia sana
 
Unaweza kuwa na means za kumuumiza ABDUL? Watu wanajiamini kwakuwa wanajijua wao ni kina nani
Hapa hatumzungumzii, Abdul; isipokuwa kuongelea wake za watu na kuwadhalilisha.

Inawezekana kabisa Mwamposa ana ngozi ngumu ya kuvumilia matusi kuelekea kwake yeye binafsi, ila sio kwa familia yake.

Sasa kuna baadhi yetu, hatujui mipaka ya uvumilivu wa wengine na ndio shida ilipo.

Unakuta tunaishi kwenye dunia zetu na watu tunaofanana nao kila siku na kudhani kila mtu ana mtazamo huo.

Nilichojifunza mimi kwenye maisha kundi hilo la kudhania binadamu wote wanaishi kwenye nadharia yao uwa ni wagumu kuelewa somo, mpaka pale wachache wao wanapoangukia kwa watu wasio jua utani.

Madhara yake uwa hayatokei mara nyingi, Iła yakitokea uwa ni hadithi kubwa kwenye jamii.

The moral of the story mazoea ya hovyo au kukejeli kwa watu ambao hawapo kwenye public life sio mazuri.
 
Relax, hata ya mke wa Trump imo humu na Trump mwenyewe kachangia na kusifia sana
Umesoma comments zote humu, mfano huyu angekuwa mke wako kaandikwa hivyo, taahira wa post #2 ungemfanya nini ukimpata wa ujinga alioandika.

Yaani unamchukulia mke wa mtu poa hivyo, halafu mumewe tajiri,
 
Hajaoa anajipigia tu na kupunguza upwiru, si unajua ukisharudi kiwatapeli wajinga lazima upate sehemu ya kusuuza rungu kidogo ndio hapo rungu linasuuzwagwa
Kwann uandike kitu ambacho hukijui,au huna uhakika au umesikia vijiweni?aisee ila wabongo

Huyu dada kamuoa Kwa kufuata taratibu Zote na Wana mtt wa kike,ht clip za send off yake zilizagaa sn mtandaoni though aliifanya kimyakimya haikuwa ya kifahari
 
Sasa lile fundisho kwamba wakristohakuna kuachana kanisani kwa Mwamposa lipo kweli? Au pale wame modify mafundisho wamekopa kwenye Quran aya ya kuachana ili nao wapate fursa ya kusahihisha makosa?
Tabia,matamanio ya mtu hayabadirisha neno la Mungu

Kwahiyo hiyo ni yeye ,atajua na Mungu wake
Kiukweli wengi tu hawajaitii hii amri
 
Tabia,matamanio ya mtu hayabadirisha neno la Mungu

Kwahiyo hiyo ni yeye ,atajua na Mungu wake
Kiukweli wengi tu hawajaitii hii amri
Hayo matamanio yenu sawa, swali ina maana hapo kwa Mwamposa hilo fundisho la kwamba ukiacha mke ukaoa mwingine unazini halipo.
 
Sasa lile fundisho kwamba wakristohakuna kuachana kanisani kwa Mwamposa lipo kweli? Au pale wame modify mafundisho wamekopa kwenye Quran aya ya kuachana ili nao wapate fursa ya kusahihisha makosa?
Kam Mke alimkimbia ulitaka afanyaje aendelee kukaa miaka nenda rudia single?
Mwamba kajipata na kajipata kwa mke mwema Tena,
Blessings braza blessings only mwenye nacho huongezewa tukubali tu,just imagine huyo bibie anavyoescortiwa kwenye Vieite aaah hapana wajameni tutafute Ufalme wa Mungu mengine tutazidishiwa
Shabhaaash!
😁😁😁
 
Manzi wa kawaida Sana Wala toka kw PK hii ni sagula sagula tu ya kinyantuzu Bariadi aliipatia Furahisha Mwanza akiwa ziara zake za kiinjili
 
Tushukuru hizi anonymity za JF.

Dharau zaidi sio tu kumuongelea mke wa mtu ni namna baadhi ya watu wanavyo mchukulia mke wa mtu changudoa fulani.

Mmh, haya hiyo ndio kauli yangu.

Wasia wangu kuna watu hawajui mzaha, hasa kama wana means za kukuumiza.

Watanzania tusipende mazoea ya mzaha na kila mtu.

JF ina members wengi si kila mtu mchangiaji wa kila jukwaa wana sababu zao.

Sasa wewe chukulia wake za watu poa
Una udhibitisho wa cheti Cha ndoa alikuonesha huy tapeli kua huyo kwenye picha ni mkewe halali wa ndoa ..
 
Mme m-over rate sana tu huyo mwanamke ni wa kawaida mno, hamjakutana na wanawake wa kipoland na warusi huyo mwanamke wa kawaida sana kiurembo sijui akili perhaps.
 
Hayo matamanio yenu sawa, swali ina maana hapo kwa Mwamposa hilo fundisho la kwamba ukiacha mke ukaoa mwingine unazini halipo.
Hujanieiewa,soma Tena mkuu
. nimesema, tabia,maamuzi au matamanio ya mtu hayabadirisha "neno la Mungu"...
Neno la Mungu liko pale pale ndoa ni moja , na sio kwamba Hilo fundisho halijui analijua vzr na kasaidia ndoa za watu kibao tu pale zikae sawa...

SS kuhusu yeye atajua mwenyewe ila yeye kutomtii Mungu Kwa hiyo amri sio kuwa hiyo amri imeondolewa 😅
 
Back
Top Bottom