Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

Kuna watu wanawalaumu hakina Gekul au maafande ambao wanawatia adabu wajuaji wanaowafuata wenza wao.

Yaani we unaona sawa kumuanika mke wa mtu na kujitapa dhamira zako kwake.

Ndio maana wengine uwa atueleweki tunapounga mkono hasira za hakina Gekul au maafande.

Una post kabisa picha ya mke wa mtu; halafu unadhani ni sahihi kumjadili kama mwanamke fulani cheap.

Mumewe akujue, akuache salama.

Kiwango cha ujinga wa watu wa chit-chat is beyond me.

Mnamazoea ya aina yenu siyo ya kila mwanaume. Sasa ngoja mwenyewe akujue.

Watu wa chit-chat msipende mazoea na watu na kuchukulia vitu poa.

Una post kabisa picha ya mke wa mtu na kumwanika mke wake kama vile poa tu.
Hutaki cheap slut wa tapeli ajadaliwe
 
Hutaki cheap slut wa tapeli ajadaliwe
Tushukuru hizi anonymity za JF.

Dharau zaidi sio tu kumuongelea mke wa mtu ni namna baadhi ya watu wanavyo mchukulia mke wa mtu changudoa fulani.

Mmh, haya hiyo ndio kauli yangu.

Wasia wangu kuna watu hawajui mzaha, hasa kama wana means za kukuumiza.

Watanzania tusipende mazoea ya mzaha na kila mtu.

JF ina members wengi si kila mtu mchangiaji wa kila jukwaa wana sababu zao.

Sasa wewe chukulia wake za watu poa
 
Unakumbuka ulichouliza? Umeuliza "kaoa lini?".
Nimekujibu, mbona wewe ulizaliwa kabla mama yako hajaolewa. Nimekujibu, " mke ni mke, kuolewa ni majaliwa". Hivyo mhusika ni mke halali wa Mwamposa.
Nadhani huujui Ukristo na miongozo yake. Biblia inasema kiongozi awe msafi. Kuna taratibu za kufunga ndoa za Kikristo, na taratibu hizo zinajulikana.
Wazazi wa pande zote mbili warudhie, ndoa iandikishwe kanisani na serikalini, itangazwe hadharani kwa majuma matatu ndio ndoa ifungwe.
Hizo taratibu zimefuatwa lini?
 
Swala kuoa ni makubaliano ya Mke na Mme ambalo halihitaji hayo mambo ambayo umeelezea hapo.

Nadhani wewe unazungumzia harusi na sio ndoa
 
Swala kuoa ni makubaliano ya Mke na Mme ambalo halihitaji hayo mambo ambayo umeelezea hapo.

Nadhani wewe unazungumzia harusi na sio ndoa
Basi hiyo sio ndoa ya Kikristo, ni ndoa ya kishenzi.
Hata ndoa za kimila Zina utaratibu wake ambazo unajulikana wazi kwenye jamii husika, lakini sio sogea tuishi
 
Yule aliezaa nae alimkimbia wakati yupo kwenye hustle na Supika lake pale Sinza anawapigia kelele Walevi wanamuingiza Bar anaanza kupiga kelele mkewe akalala mbele na mtoto wake achana na huyo sister du, huyo sio yule aliezaa nae
Duh! Hii comment nimecheka sana yaani kama vile naona ilivyokuwa😅
 
Asipokua na mke wahuni wanapiga kelele ana pisi kama ya kwao wahuni hawataki wanasema kachukua kondoo wake daah sijui tusikilize nini sasa..
 
Tushukuru hizi anonymity za JF.

Dharau zaidi sio tu kumuongelea mke wa mtu ni namna baadhi ya watu wanavyo mchukulia mke wa mtu changudoa fulani.

Mmh, haya hiyo ndio kauli yangu.

Wasia wangu kuna watu hawajui mzaha, hasa kama wana means za kukuumiza.

Watanzania tusipende mazoea ya mzaha na kila mtu.

JF ina members wengi si kila mtu mchangiaji wa kila jukwaa wana sababu zao.

Sasa wewe chukulia wake za watu poa
Unaweza kuwa na means za kumuumiza ABDUL? Watu wanajiamini kwakuwa wanajijua wao ni kina nani
 
Back
Top Bottom