Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
🤣🤣ngoja niendelee kujinoa na TIZI la kukariri VERSE za BIBLIA vizuri, na jinsi ya kuichambua nianzishe HEMA/TENT langu la maombi, nipige INJILI hadi kwa ma PISIKALI. huenda nikaopoa kigoli mie MJOLI wa Mungu.
»STAREHE ni kumwagia OIL kwenye engine bora na imara yenye nguvu, ya kuhimili mikikimikiki ya kila aina.