Pichani ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili walivaa nguo fupi na kupita barabarani walisababisha ajali

Pichani ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili walivaa nguo fupi na kupita barabarani walisababisha ajali

Ulaya ya Mwaka 1937 bado ni pazuri kuliko Bongo ya 2020..
 
Halafu wakati huo kulikuwa hakuna ukimwi kulikuwa na magonjwa mengine tu ya zinaa
ambayo nayo kuyapata ilikua ni mziki,mtu kama cassanova alitafuta papuchi za kila aina lakini hakuna kwenye historia taarifa kwamba alipata magonjwa,jamaa kala zaidi ya papuchi 1000
 
Back
Top Bottom