Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi

Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?





 
Uliwachungulia huko chini ukakuta kuna mzinga wa asali?
Wanao mzinga na masega yakeπŸ˜…
Sema kitu kimoja kinachowafanya wakae kidume dume ni hizi injection za kuboost miil yao.
Suala la u-tomboy kwao ni jambo la kawaida.
Unakumbuka ile skendo ya wale Queens wa timu gani sijui waliopata skendo kipindi kile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…