Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

Wanao mzinga na masega yake😅
Sema kitu kimoja kinachowafanya wakae kidume dume ni hizi injection za kuboost miil yao.
Suala la u-tomboy kwao ni jambo la kawaida.
Unakumbuka ile skendo ya wale Queens wa timu gani sijui waliopata skendo kipindi kile?
Akili yangu imegoma... Kwanza walitangazwa ni wakike baada ya miaka 13 wakati kabla ya hapo walikuwa wakicheza sana na makundi ya kiume
 
Wanao mzinga na masega yake😅
Sema kitu kimoja kinachowafanya wakae kidume dume ni hizi injection za kuboost miil yao.
Suala la u-tomboy kwao ni jambo la kawaida.
Unakumbuka ile skendo ya wale Queens wa timu gani sijui waliopata skendo kipindi kile?
Kiukweli mie wananikera sana wanavyojiharibu kwa kupoteza uanamke wao, wanafanya mpira wa miguu uonekane kama ni wa wanaume pekee ndio maana na wao wanajiweka kiume,
Juzi nimetembelewa na best yangu anacheza mpira Znz, tulikua hatujaonana kwa miaka miwili khee kabadilika kawa kidume na ndevu zinamuanza, alinikeraaaaaa
 
Ila kusagwa na tomboy raha sana.
Tomboy anajua wapi pa kukupekecha.
Nakumbuka nilikuwa na tomboy flani miaka kama 2 imepita.
Acha kabisa
 
PSL god njoo huku Mkuu umuone mwanamke wako aliyetoka Pemba kutafuta dawa 😂
Huyu dem hafai mkuuu hafai kabisa ni taira wahedi inabidi ukitaka kuzaa na mwanamke uangalie background yake ya mitandao ya kijamii utajua siri nyingi sana 😅

Alafu nilisikia ana mume kamuacha mikoani huko dsm alikuja kufanya kazi sasa hiyo mimba ya mpemba sijui itakuwaje? sema long distance relationship ni uongo sometimes

AmKATRINA tumia akili we mmama idiot
 
Back
Top Bottom