Akili yangu imegoma... Kwanza walitangazwa ni wakike baada ya miaka 13 wakati kabla ya hapo walikuwa wakicheza sana na makundi ya kiumeWanao mzinga na masega yake😅
Sema kitu kimoja kinachowafanya wakae kidume dume ni hizi injection za kuboost miil yao.
Suala la u-tomboy kwao ni jambo la kawaida.
Unakumbuka ile skendo ya wale Queens wa timu gani sijui waliopata skendo kipindi kile?
My aunties ❤️Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani
Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi
Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
View attachment 3331864
View attachment 3331865
View attachment 3331866
Ni wanawake.Akili yangu imegoma... Kwanza walitangazwa ni wakike baada ya miaka 13 wakati kabla ya hapo walikuwa wakicheza sana na makundi ya kiume
SawaNi wanawake.
Mimi nawafahamu vyema
Kiukweli mie wananikera sana wanavyojiharibu kwa kupoteza uanamke wao, wanafanya mpira wa miguu uonekane kama ni wa wanaume pekee ndio maana na wao wanajiweka kiume,Wanao mzinga na masega yake😅
Sema kitu kimoja kinachowafanya wakae kidume dume ni hizi injection za kuboost miil yao.
Suala la u-tomboy kwao ni jambo la kawaida.
Unakumbuka ile skendo ya wale Queens wa timu gani sijui waliopata skendo kipindi kile?
Ila kusagwa na tomboy raha sana.Kiukweli mie wananikera sana wanavyojiharibu kwa kupoteza uanamke wao, wanafanya mpira wa miguu uonekane kama ni wa wanaume pekee ndio maana na wao wanajiweka kiume,
Juzi nimetembelewa na best yangu anacheza mpira Znz, tulikua hatujaonana kwa miaka miwili khee kabadilika kawa kidume na ndevu zinamuanza, alinikeraaaaaa
Bora umewathibitishia aisee, Kuna mwamba King Kong III alikuwa anatafuta mchumba saa sijui alishapata au lah ,maana Kati ya hao wawili nataka achague mmoja
Asante studio 😅😅Ila kusagwa na tomboy raha sana.
Tomboy anajua wapi pa kukupekecha.
Nakumbuka nilikuwa na tomboy flani miaka kama 2 imepita.
Acha kabisa
Huyu dem hafai mkuuu hafai kabisa ni taira wahedi inabidi ukitaka kuzaa na mwanamke uangalie background yake ya mitandao ya kijamii utajua siri nyingi sana 😅PSL god njoo huku Mkuu umuone mwanamke wako aliyetoka Pemba kutafuta dawa 😂
Mbona kukupekecha🤣🤣🤣Ila kusagwa na tomboy raha sana.
Tomboy anajua wapi pa kukupekecha.
Nakumbuka nilikuwa na tomboy flani miaka kama 2 imepita.
Acha kabisa
Raha sanaMbonq kukupekecha🤣🤣🤣
Nimecheka sanaa
Bora umewathibitishia aisee, Kuna mwamba King Kong III alikuwa anatafuta mchumba saa sijui alishapata au lah ,maana Kati ya hao wawili nataka achague mmoja