Picku za kichina (jmc& cannon) zinaubora gani au changamoto ipi?

Hao JMC wana pickup nzuri tu, kwasababu nadhani Mchina kashirikiana na Ford, hafu wapo kwenye game tokea zamani karibia miaka 10.

Huyo Cannon ni GWM (Great Wall Motors) hao, model mpya izo za 2020s.

Kwa ujumla magari ya Kichina ngumu kuyatetea kwasababu hatuna experience nayo sana. Mjapan unaweza nunua Hilux ya 2010 leo yenye 200,000 km na ikawa fresh, sasa Mchina ata kukutana nayo yenye 50,000 km bado.

Nashauri kupunguza risk bore kukomaa na Jp au uende CN uwe wa mfano kwetu.
 
Pale mitaa ya kijitonyama kuna yard ya kampuni hiyo ya JMC huwa nikipita naangalia hizo pick up naona bado sijazielewa hata kidogo.......pick up za FOTON zimekaa utamu Sana zinafanana na ford ranger raptor
 
IMG_5788.jpeg
 
Back
Top Bottom