Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
White peoples wanatuzidi sana maarifa, maeneo mengi wanayaendeleza vizuri, Kama halikuwa na miti, basi baada ya miaka kadhaa utakuta yana uoto wa kijani. Tunapaswa kuoga mengi kutoka kwao.View attachment 1813016
Rysstad, Norway
Hiv kumbe hawa bado wapo hai?
Hamna ata ila movies zao za time traveling niliwai zionaMuhenga wewe kumbe😂😂