Picture remake(Wakati huo na sasa)

Picture remake(Wakati huo na sasa)

Kutoka kuwa Jaya Bhaduri mpaka kuwa Jaya Bachchan.
Nampenda sana huyu mama.
Ndiye aliyenifanya nipende kuitazama filamu yao ya Sholay ya 1975.
Akiigiza kama mjane baada ya kufiwa ma mumewe akaja kuingia penzini tena na Amita.
Bahati mbaya Amita naye anakuja kufa mbele ya macho ya Jaya na kumuacha na ujane wake tena.
Mungu azidi kuwabariki Amita na Jaya katika ndoa yao.
Sholay steering(if the spellings are ok) alikua Dharmendra? Film hizi zilitoka pamoja na Naseeb na Dostana kama sikosei
 
We unadhani CCM ni wamchezo mchezo? wanaendeleza vitambi vyao tu,mengine hayawahusu
Hapana wala hili sio swala la CCM wala nani anatawala ni swala la kila mwananchi binafsi mkuu
 
media%2FE29JgntXMAYb_Ve.jpg%3Fname%3Dsmall

E29Jh5BWEAEdylY.jpg

E3CXiLiWQAAJV5r.jpg
 
Back
Top Bottom