myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SafiiiView attachment 1804610
Babu na mpenzi wake pikipiki ile ile,sehemu ile ile mwaka 1967 na mwaka 2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiiiView attachment 1804610
Babu na mpenzi wake pikipiki ile ile,sehemu ile ile mwaka 1967 na mwaka 2018
Jamani huu uzi hadi raha. Pics nzuri sana sijui unazitoa wapi!View attachment 1805106
Miaka 25 baadae
YahLike I said hapo juu. Ukiangalia nchi za ulaya wanatunza sana majengo yao ya asili na nature
Mipango miji mkuuu,Kwani za Tanzania au Afrika hakuna....muweke basi nazo tulinganishe..mfano Dar es salaam ya sasa na ya mwaka 1950 hivi!