Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mzunguko wa maisha tuhakikishe tunaacha kumbukumbu nzuri kwa wanaotupenda
Sema wazungu vichaa sana, so huyo jamaa akavaa kyupi mbele ya dada zake tena😂😂😂😂View attachment 1805100
Miaka 23 baadae na mshua
Hahahaaa sasa si wanaigiza vile vileSema wazungu vichaa sana, so huyo jamaa akavaa kyupi mbele ya dada zake tena😂😂😂😂
Nje ya Mada:Uzi mzuri,maisha ni safari ya muda tu hapa duniani,kuna ya kujifunza kupitia uzi huu.
Hiyo picha ya huyo babu ndo imenisikitisha 🤔🤔Nje ya Mada:
Umenikumbusha habari Fulani ya huyu mzee aliyekua anakufa(Akiwa na miaka 87) last wish yake ilikua kunywa via na wanae kabla hajachomolewa mashine. Na waliitekeleza. Wakapiga na picha akapumzika na smile kubwa sanaView attachment 1805188
Hakuna kusudio kubwa tuliloletwa duniani kwayo, zaidi ya kuacha vizazi vyako vikiishi kwa furaha na upendo. Uache kumbukumbu. Wabongo wengi hatuweki rekodi sahihi ya kumbukumbu zetu
Au kuna picha kama hizi pia ukiziangalia kiundani huwa zina ujumbe mkubwa sana(Mie ni mpenzi wa picha sana)
View attachment 1805191
Nikipata muda ntaanzishia Uzi wake na zenyewe. Hapo ni picha ya vizazi vinne kutoka kitukuu😍😍
Hii imeniumiza sanaView attachment 1805168
Na ukiangalia jinsi wazazi wetu walihangaika waliyoyapitia unabaki kusema tu Asante washua
Kali ya zote!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Ningekuwa nazo ningeweka ndugu yangu!Weka tu mkuu hata wewe. Uzi shirikishi huu