Picture remake(Wakati huo na sasa)

View attachment 1805958View attachment 1805959
Amita Bachnan 48 yrs ya ndoa(June 2021)
Kutoka kuwa Jaya Bhaduri mpaka kuwa Jaya Bachchan.
Nampenda sana huyu mama.
Ndiye aliyenifanya nipende kuitazama filamu yao ya Sholay ya 1975.
Akiigiza kama mjane baada ya kufiwa ma mumewe akaja kuingia penzini tena na Amita.
Bahati mbaya Amita naye anakuja kufa mbele ya macho ya Jaya na kumuacha na ujane wake tena.
Mungu azidi kuwabariki Amita na Jaya katika ndoa yao.
 
Daah,aiseee ...
 
Like I said hapo juu. Ukiangalia nchi za ulaya wanatunza sana majengo yao ya asili na nature
Nimeshangaa hiyo picha ya norway bado maji yapo bembeni ya barabara wakati sisi huku mito imegeuka njia za kupitia ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…