Guerreiro
JF-Expert Member
- Dec 22, 2018
- 736
- 1,134
Huwa tunakutana naye mara kwa mara kwenye maeneo yangu ya kazi. (siyo bar lakini)Unakutana wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa tunakutana naye mara kwa mara kwenye maeneo yangu ya kazi. (siyo bar lakini)Unakutana wapi mkuu
Ni mtu mmoja mkorofi sana[emoji3][emoji3].Unakutana wapi mkuu
Nchi hii ina mambo Mengi sana ya maana ya kuandika zaidi ya upuuzi fulani ambao huenda huwa mnapewa hela ili muawafanye watu fulani kuwa maarufu.No days talent matter than knowledge
Huwa tunakutana naye mara kwa mara kwenye maeneo yangu ya kazi. (siyo bar lakini)
Siyo maeneo yangu hayo.Kwan ukikutana nae bar kuna tatizo?[emoji1787][emoji1787]likwid
Mfahamu Pierre Mzee wa Liqwidii. - JamiiForumsKwani huyu ni nani eti
Mkuu ukitaka maisha yaende hivyo unavyotaka mambo yatakua magumu sanawaandishi wa habari siku hizi naona ni wapuuzi sana.kuna mambo mengi ya kuleta habari na kuhibua changamoto hata matatizo yanayo kabili.lakini unaenda kumfatilia mlevi na mpaka nyimbo anatungiwa.halafu kesho mnata mpate tuzo za habari
Acha uongo mimi sijatuma salamu wala sijaomba kwenda huko magogoni
Kwani huyu ni nani eti
Nchi hii ina mambo Mengi sana ya maana ya kuandika zaidi ya upuuzi fulani ambao huenda huwa mnapewa hela ili muawafanye watu fulani kuwa maarufu.
Aaaagh...!aaagh...aiiii mama we..!! Nakufaaaa......... Konki fayaaaa.....konki liquid ...konki fayaaaa.... Fayaaaaaaaa....
Mkuu ukitaka maisha yaende hivyo unavyotaka mambo yatakua magumu sana
jambo gani la kijinga mkuu?Iq za watanzania wengi ni kidogo sana,ndio maana tuliletewa kikombe cha babu,dr shika na upumbavu mwingine,
Kwa nini mnayapa nafasi mambo ya kijinga.
Jamaa anataka tuwe serious na maisha kila sikuAnataka tuzeke mapema uyo
Jamaa anataka tuwe serious na maisha kila siku
Huyu anduje atakuwa si Mtanzania,labda anatokea misitu ya KongoKatika hali ya kushangaza isiyo tarajiwa na wadau wa likwid.jana mzee wa likwid alizungumza na wanahabari kutuma salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka huku akiwaomba watanzania wasimsahau hususani katika kipindi hiki ambcho yupo injury
Mzee wa likwidi ambaye sasa ni antena ndani ya suruali alionekana katika kiwanja chake kwa dakika chache kisha kurudi nyumbani.
Aidha amewataka mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kumchangia chochote aende check up india kuangalia maendeleo ya injury ya mguu
Kuputia kwa mdhamini wake mkuu wanafanya utaratibu kuomba kibali cha kwenda kuonana na mzee pale magogoni
Tuendelee kumwombea dua wakati tunatafuna mpunga wa Christmas na yeye tumkumbukeView attachment 976773
Huyo ndiye pierre konko mzee wa likwid ambaye kwa sasa ni antena ndani ya surual