Pierre konki mzee wa likwid atuma salamu za Christmas na mwaka mpya

Pierre konki mzee wa likwid atuma salamu za Christmas na mwaka mpya

Aaaagh...!aaagh...aiiii mama we..!! Nakufaaaa......... Konki fayaaaa.....konki liquid ...konki fayaaaa.... Fayaaaaaaaa....
 
waandishi wa habari siku hizi naona ni wapuuzi sana.kuna mambo mengi ya kuleta habari na kuhibua changamoto hata matatizo yanayo kabili.lakini unaenda kumfatilia mlevi na mpaka nyimbo anatungiwa.halafu kesho mnata mpate tuzo za habari
Mkuu ukitaka maisha yaende hivyo unavyotaka mambo yatakua magumu sana
 
Iq za watanzania wengi ni kidogo sana,ndio maana tuliletewa kikombe cha babu,dr shika na upumbavu mwingine,

Kwa nini mnayapa nafasi mambo ya kijinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi hii ina mambo Mengi sana ya maana ya kuandika zaidi ya upuuzi fulani ambao huenda huwa mnapewa hela ili muawafanye watu fulani kuwa maarufu.
 
Iq za watanzania wengi ni kidogo sana,ndio maana tuliletewa kikombe cha babu,dr shika na upumbavu mwingine,

Kwa nini mnayapa nafasi mambo ya kijinga.
jambo gani la kijinga mkuu?
 
Katika hali ya kushangaza isiyo tarajiwa na wadau wa likwid.jana mzee wa likwid alizungumza na wanahabari kutuma salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka huku akiwaomba watanzania wasimsahau hususani katika kipindi hiki ambcho yupo injury
Mzee wa likwidi ambaye sasa ni antena ndani ya suruali alionekana katika kiwanja chake kwa dakika chache kisha kurudi nyumbani.

Aidha amewataka mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kumchangia chochote aende check up india kuangalia maendeleo ya injury ya mguu

Kuputia kwa mdhamini wake mkuu wanafanya utaratibu kuomba kibali cha kwenda kuonana na mzee pale magogoni

Tuendelee kumwombea dua wakati tunatafuna mpunga wa Christmas na yeye tumkumbukeView attachment 976773

Huyo ndiye pierre konko mzee wa likwid ambaye kwa sasa ni antena ndani ya surual
Huyu anduje atakuwa si Mtanzania,labda anatokea misitu ya Kongo
 
Back
Top Bottom