Pierre konki mzee wa likwid atuma salamu za Christmas na mwaka mpya

Aaaagh...!aaagh...aiiii mama we..!! Nakufaaaa......... Konki fayaaaa.....konki liquid ...konki fayaaaa.... Fayaaaaaaaa....
 
waandishi wa habari siku hizi naona ni wapuuzi sana.kuna mambo mengi ya kuleta habari na kuhibua changamoto hata matatizo yanayo kabili.lakini unaenda kumfatilia mlevi na mpaka nyimbo anatungiwa.halafu kesho mnata mpate tuzo za habari
Mkuu ukitaka maisha yaende hivyo unavyotaka mambo yatakua magumu sana
 
Iq za watanzania wengi ni kidogo sana,ndio maana tuliletewa kikombe cha babu,dr shika na upumbavu mwingine,

Kwa nini mnayapa nafasi mambo ya kijinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi hii ina mambo Mengi sana ya maana ya kuandika zaidi ya upuuzi fulani ambao huenda huwa mnapewa hela ili muawafanye watu fulani kuwa maarufu.
 
Iq za watanzania wengi ni kidogo sana,ndio maana tuliletewa kikombe cha babu,dr shika na upumbavu mwingine,

Kwa nini mnayapa nafasi mambo ya kijinga.
jambo gani la kijinga mkuu?
 
Huyu anduje atakuwa si Mtanzania,labda anatokea misitu ya Kongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…