Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 253
- 360
๐Mbunge/Diwani amekaa madarakani miaka 15 mpaka 30 lakini suala la maji ni changamoto....Piga Chini Weka Mwingine
๐ Mbunge/Diwani amekaa miaka 15 mpaka 30 lakini Barabara za kutegemewa kimaendeleo Kila mwaka zinalimwa na greda kama shamba tu kugeuza udongo huku na huku....Piga Chini Weka Mwingine
๐ Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini ukienda zahanati haina dawa ila unaambiwa kanunue dawa duka fulani....Piga Chini Weka Mwingine
๐ Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini hajawahi hata siku moja kuwadokezea kuhusu Fedha za Kila mwaka za Mfuko wa Jimbo milioni 55 au zaidi huwa zinatumika kufanya nini...Piga Chini Bila Huruma Weka Mwingine.
๐ Mbunge amebahatika kuwa Waziri wa Wizara Fulani basi akajiona yeye ndio Rais wa nchi na Jimboni akasahau eti Sasa hivi ndio anakuja kukununulia Pombe na Nyama, wewe kula ushibe upate nguvu za...Kumpiga Chini kwa Kishindo Kikuu.
๐ Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini hajawahi kuwa na sera binafsi za Jimbo kukabiliana na changamoto za wananchi wakiwemo Vijana, Kina Mama na Wazee ila tabia yake ni kupita na Mipango Kazi ya serikali kuu na kusema Mama kaleta kituo Cha Afya, mama kaleta umeme, nimepambana kuleta chanjo ya watoto๐....Huyu Mchinjie Baharini na damu isionekane...Weka Mwingine.
๐Mbunge tangu apate ubunge alipotea mpaka miaka mitano imekamilika leo 2025 ndio anachomoza utadhani Jua la Mlima Sarenda. Piga Chini Bila Huruma.
๐Mbunge/Diwani alishirikiana na wawekezaji kuwahujumu na kuwakandamiza wananchi, wachimbaji wadogo migodi yao ikachukuliwa, wamachinga, Mama Ntilie wakafukuzwa maeneo yao ya biashara...Piga Chini kabisa.
๐ Mbunge/Diwani mlimchagua lakini akaenda vikao vya Bunge/Mkutano wa Baraza la madiwani kusinzia ama kusema Yale ambayo hamjamtuma...Piga Chini Weka Mwingine.
๐2025 ni Mwaka wa Kuondoa mazoea na viongozi wazembe, wasiowajibika mwaka wa Kuondoa Vilaza na Wapiga Dili.
Let's Gooo!