Piga Chini, Weka Mwingine!

Piga Chini, Weka Mwingine!

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Posts
253
Reaction score
360
👉Mbunge/Diwani amekaa madarakani miaka 15 mpaka 30 lakini suala la maji ni changamoto....Piga Chini Weka Mwingine

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 15 mpaka 30 lakini Barabara za kutegemewa kimaendeleo Kila mwaka zinalimwa na greda kama shamba tu kugeuza udongo huku na huku....Piga Chini Weka Mwingine

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini ukienda zahanati haina dawa ila unaambiwa kanunue dawa duka fulani....Piga Chini Weka Mwingine

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini hajawahi hata siku moja kuwadokezea kuhusu Fedha za Kila mwaka za Mfuko wa Jimbo milioni 55 au zaidi huwa zinatumika kufanya nini...Piga Chini Bila Huruma Weka Mwingine.

👉 Mbunge amebahatika kuwa Waziri wa Wizara Fulani basi akajiona yeye ndio Rais wa nchi na Jimboni akasahau eti Sasa hivi ndio anakuja kukununulia Pombe na Nyama, wewe kula ushibe upate nguvu za...Kumpiga Chini kwa Kishindo Kikuu.

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini hajawahi kuwa na sera binafsi za Jimbo kukabiliana na changamoto za wananchi wakiwemo Vijana, Kina Mama na Wazee ila tabia yake ni kupita na Mipango Kazi ya serikali kuu na kusema Mama kaleta kituo Cha Afya, mama kaleta umeme, nimepambana kuleta chanjo ya watoto😂....Huyu Mchinjie Baharini na damu isionekane...Weka Mwingine.

👉Mbunge tangu apate ubunge alipotea mpaka miaka mitano imekamilika leo 2025 ndio anachomoza utadhani Jua la Mlima Sarenda. Piga Chini Bila Huruma.

👉Mbunge/Diwani alishirikiana na wawekezaji kuwahujumu na kuwakandamiza wananchi, wachimbaji wadogo migodi yao ikachukuliwa, wamachinga, Mama Ntilie wakafukuzwa maeneo yao ya biashara...Piga Chini kabisa.

👉 Mbunge/Diwani mlimchagua lakini akaenda vikao vya Bunge/Mkutano wa Baraza la madiwani kusinzia ama kusema Yale ambayo hamjamtuma...Piga Chini Weka Mwingine.

👉2025 ni Mwaka wa Kuondoa mazoea na viongozi wazembe, wasiowajibika mwaka wa Kuondoa Vilaza na Wapiga Dili.

Let's Gooo!
 
Hao si watanzania wanaofurahia kumwona mbunge akiwa anasukuma ndinga za milion 400, 700 huku wao wakiwa hoi ili mradi awaletee kofia na muziki tu wakati wa kampeni.
 
Kwa wabunge mnawaonea tu kazi ya mbunge sio kujenga barabara Wala kuleta maji hiyo ni ya serikali tatizo Kuna shida kubwa ya uelewa na ufahamu wa kazi za kibunge
 
Taja kero ya mtaa wenu moja alafu weka clip iyo kero mbunge wako hakiisema bungeni
 
90%watanzania hawajielewi,wanaendeshwa na Uoga na Ubinafsi kuliko masirahi ya Kitaifa.
 
👉Mbunge/Diwani amekaa madarakani miaka 15 mpaka 30 lakini suala la maji ni changamoto....Piga Chini Weka Mwingine

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 15 mpaka 30 lakini Barabara za kutegemewa kimaendeleo Kila mwaka zinalimwa na greda kama shamba tu kugeuza udongo huku na huku....Piga Chini Weka Mwingine

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini ukienda zahanati haina dawa ila unaambiwa kanunue dawa duka fulani....Piga Chini Weka Mwingine

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini hajawahi hata siku moja kuwadokezea kuhusu Fedha za Kila mwaka za Mfuko wa Jimbo milioni 55 au zaidi huwa zinatumika kufanya nini...Piga Chini Bila Huruma Weka Mwingine.

👉 Mbunge amebahatika kuwa Waziri wa Wizara Fulani basi akajiona yeye ndio Rais wa nchi na Jimboni akasahau eti Sasa hivi ndio anakuja kukununulia Pombe na Nyama, wewe kula ushibe upate nguvu za...Kumpiga Chini kwa Kishindo Kikuu.

👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 10 mpaka 30 lakini hajawahi kuwa na sera binafsi za Jimbo kukabiliana na changamoto za wananchi wakiwemo Vijana, Kina Mama na Wazee ila tabia yake ni kupita na Mipango Kazi ya serikali kuu na kusema Mama kaleta kituo Cha Afya, mama kaleta umeme, nimepambana kuleta chanjo ya watoto😂....Huyu Mchinjie Baharini na damu isionekane...Weka Mwingine.

👉Mbunge tangu apate ubunge alipotea mpaka miaka mitano imekamilika leo 2025 ndio anachomoza utadhani Jua la Mlima Sarenda. Piga Chini Bila Huruma.

👉Mbunge/Diwani alishirikiana na wawekezaji kuwahujumu na kuwakandamiza wananchi, wachimbaji wadogo migodi yao ikachukuliwa, wamachinga, Mama Ntilie wakafukuzwa maeneo yao ya biashara...Piga Chini kabisa.

👉 Mbunge/Diwani mlimchagua lakini akaenda vikao vya Bunge/Mkutano wa Baraza la madiwani kusinzia ama kusema Yale ambayo hamjamtuma...Piga Chini Weka Mwingine.

👉2025 ni Mwaka wa Kuondoa mazoea na viongozi wazembe, wasiowajibika mwaka wa Kuondoa Vilaza na Wapiga Dili.

Let's Gooo!
Piga chini,mbunge Ambaye hachangii watoto wasio na uwezo kusomesha piga chini!, Mbunge haleti wawekezaji kwenye sekta yoyote,piga chini!
 
Back
Top Bottom