PIGA KURA:JamiiForums Member of the Year.

Nani mwanachama bora wa mwaka 2017?

  • The Bold

    Votes: 6 20.0%
  • Mshana jr

    Votes: 10 33.3%
  • Joseverest

    Votes: 8 26.7%
  • ONTARIO

    Votes: 4 13.3%
  • None of The Above

    Votes: 2 6.7%

  • Total voters
    30
Kwa vigezo vipi hasa?

Kamati ya maadili pasi na chembe ya upendeleo imetoa majina matatu ya wagombea,ambao ndio hao tajwa hapo juu!
 
Mkuu ungeweka member hao kulingana na majukwaa yao ungefanya vyema sana.

Maana sijaona member kwenye jukwaa letu la kujifunza Science & Tech sina maelezo zaidi.

Hapo juu umeweka majukwaa mawili tu intelligence & chit-cha..
 
Kama Ontario hayupo hapo. .
hiyo list yako ni feki. .
hadii sasa kwa huu mwaka naona ontario ndo man of year ..
Hivi bold anarudi lini. .???
Mkuu,Guy is added!
 
Pumbavu tu.
Unafunga akili za watu kwa kuweka majina unayoona wewe...
JF ni zaidi ya Mshana, The Bold. Nk.
Ni sawa na kuuliza Msanii yupi Bongo anaongoza kwa hela ??? Kwenye list unaweka Baraka the Prince na Dogo Janja.
Huo ni Upumbavu rafiki yangu.
Let people choose their best option, and not their Least option.
 
Mbona wote wanaume tu kwani Jamiiforums wamejaa vidume pekeee???
NA UMETUMIA VIGEZO GANI KUWACHAGUA HAO ULIOWATAJA?

Maarufu wapo wengi humu sidhan kama watu watatu pekee ndo maarufu JF nzima
KWENDRAAAAAAAAA!!!!
Hakuna mwanamke anayeshawishi? Hata Mm nashangaa
 
huyo jerseverest hana sifa za kuwekwa hapo. ..Si bora hata ungemuweka Gudume tu
 
Mkuu ungeweka member hao kulingana na majukwaa yao ungefanya vyema sana.

Maana sijaona member kwenye jukwaa letu la kujifunza Science & Tech sina maelezo zaidi.

Hapo juu umeweka majukwaa mawili tu intelligence & chit-cha..
Upo sawa mkuu Kila jukwaa lina member, mfano kuna jukwaa jestikila she the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…