PIGA KURA:JamiiForums Member of the Year.

Nani mwanachama bora wa mwaka 2017?

  • The Bold

    Votes: 6 20.0%
  • Mshana jr

    Votes: 10 33.3%
  • Joseverest

    Votes: 8 26.7%
  • ONTARIO

    Votes: 4 13.3%
  • None of The Above

    Votes: 2 6.7%

  • Total voters
    30
Jukwa la wakubwa Kura iende kwa @Jestikilla kwa kutuwekea tupicha tutamuu..
 
mimi kwangu wana jf wote ni bora, lakini bora zaidi kwangu ni eiyer. kuna vitu vingi ameshirikisha hapa jamii forum ambavyo vimenifunza mengi na anapo uzima kuna mengi ya kujifunza kwake. hao mliowataja ni bora lakini kama ni nondo nkwangu ni eiyer ingawa wapo wengi wa namna hio lakini huyu ni bora kwangu. mshana yupo bara lakini yakwake nashindwa kuyaishi.
 
Mbona wote wanaume tu kwani Jamiiforums wamejaa vidume pekeee???
NA UMETUMIA VIGEZO GANI KUWACHAGUA HAO ULIOWATAJA?

Maarufu wapo wengi humu sidhan kama watu watatu pekee ndo maarufu JF nzima
KWENDRAAAAAAAAA!!!!

hahahahahahahahahhaha
 
mwanzo kura nilikuwa nimempa mshana Jr, baada ya kuliona jina la Ontario nikamnyang'anya
 
The bold mtoe tu hapo, kapoteza ladha siku hizi.

Mshana jr. VS Joseverest
 
Nipigie hata mimi tu!
 
Unamuogopa mchawi eh?
 
Chipukizi anaekuja kwa kasi
ngebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…