Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The boldKabla huu mwaka haujaisha lazima tumpate mwanachama bora wa mwaka 2017...Kwasasa hapa JF wajumbe maarufu ni hawa watatu...hivyo tupige kura kumpata Member of the Year!
> The bold
> mshana jr
> Joseverest
NB:Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku tatu kuanzia leo!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kama Ontario hayupo hapo. .
hiyo list yako ni feki. .
hadii sasa kwa huu mwaka naona ontario ndo man of year ..
Hivi bold anarudi lini. .???
Sana tu...Mnataka mpeane kiswahiba eeh?
Hakuna mwanamke anayeshawishi? Hata Mm nashangaaMbona wote wanaume tu kwani Jamiiforums wamejaa vidume pekeee???
NA UMETUMIA VIGEZO GANI KUWACHAGUA HAO ULIOWATAJA?
Maarufu wapo wengi humu sidhan kama watu watatu pekee ndo maarufu JF nzima
KWENDRAAAAAAAAA!!!!
Upo sawa mkuu Kila jukwaa lina member, mfano kuna jukwaa jestikila she the bestMkuu ungeweka member hao kulingana na majukwaa yao ungefanya vyema sana.
Maana sijaona member kwenye jukwaa letu la kujifunza Science & Tech sina maelezo zaidi.
Hapo juu umeweka majukwaa mawili tu intelligence & chit-cha..