Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Akili hana huyoUnadhihirisha uhuni wako, 26 namba ni kwa wafungwa tena makosa ya kihuni kama mihadarati.... tutake radhi wanaNyamagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili hana huyoUnadhihirisha uhuni wako, 26 namba ni kwa wafungwa tena makosa ya kihuni kama mihadarati.... tutake radhi wanaNyamagana.
Sasa unatisha watu au unajitambulisha?Haahaa jiangalie brother. Mimi ni mtoto wa mjini wewe jua hivyo.
Nikisema mtoto wa mjini kaa ukijua najua machimbo yote, najua njia zote na pia sifanyi siasa chafu mimi ila ukijiingiza mikono miwili nakumwaga mchana kweupe.Sasa unatisha watu au unajitambulisha?
Eleweka kama umekuja kwa kujitambulisha jibu watu hoja zao wakujue kama umeleta mashambulizi weka wazi wakushughulikie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitakutukana japo nakufahamu. Ndio ujue mimi mtoto wa mjini. Chama chenu nasikia mnahaha kuangaika kutafuta mafaili yangu ili mjimwage na mmeshindwa kabla ya tarehe.Tunapoteza muda kuelisha mtu fara tu! Siku za nyuma angeweza kweli kuwa mbunge na kuishia kufanya upuuzi mwingi kwenye zile suti za mikono mifupi.
Kuna mjadala wa uwezo mdogo wa vijana ktk siasa na hapa ndo unamuona mtu wa aina hii akitegemea kushika nafasi kubwa ya kitaifa wakati akili bado ni ya kujiita mtoto wa mjini akidhani ni mtaji. Kinondoni si ni jina la wale wanaolawitiwa au?
Brother muda ukifika nitakuja hapa jukwaani ku-update taarifa za chama. Kuna kundi la nzige wakizidiwa sera na hoja kwa wananchi hawakawii kukuharibia.Watoto wa mjini mnakuwaga na mambo mengi. Hujasema kupitia chama gani Jacob
Wewe sio mkazi wa Mwanza unaongea ujinga tu. Kwa taarifa yako Mwanza ni mkoa ambao kuna maadili mazuri na utamaduni tofauti na mikoa mingi hapa Tanzania.Bhagosha...Ngosha kaingia na misemo asiyojua hata maana yake...
Mtoto wa mjini....kaweka kwenye platform ya wote..
Wasukuma mpigieni kura muhuni, misheni-tauni, tapeli tapeli....jimbo lina uhitaji wa mbunge mtoto wa mjini.
Simuulizi ni wa chama gani?? Nchi hii kuna chama kimoja tu, maarufu kwa kuvunja sheria na katiba.....ndiyo maana kaanza kampeni kabla ya muda...
Mwandiko ka BASHITE
Everyday is Saturday................... 😎
Brother napenda uamini kuwa naweza kuisaidia Nyamagana na nchi kwa ujumla kwa kushawishi na utekelezaji wa sera nzuri na mkakati za kuboresha maendeleo yetu.Bungeni wamo wanaojua kusoma na kuandika tu lakini wenye msaada na matumizi ni wale wenye shule ya maana. Ukitaka Mbunge wa mikongo na komedi ingiza huyo anayeitwa mtoto wa mjini, wenzako wataingiza wanaoweza kupanga mambo ya nchi.
Nikushauri. Tuombe msaada wa mawazo na hapo tutaanza kukuliza sifa zako. Mambo ya kusema unajulikana, hapa ni nyumbani, mji nauelewa, na bhla! bhla! kibao haisaidii siasa za leo. Mji kama wa mWanza haustahili tena kutafuta mtu anayeitwa mtoto wa mjini. Hata Meya alistahili apatikane mtu anayeweza kukaa meza moja na waziri au waziri mkuu wakapeana challenges. Kama sifa hazitoshi mimi sitasita kukueleza urudi shuleni.