Uchaguzi 2020 Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

Uchaguzi 2020 Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

Sitasema chama brother naijua siasa ya bongo.

Brother najua unajua mimi chama gani.
Poa Mkuu vipi Mabula kashaanza kuaga jimboni , maana Uchaguzi huu afe Kipa afe beki CCM hana chake siyo Mwanza tu ,bali Tanzania nzima.
 
Unahisi nina mzaha brother? utakuwa unakosea sana. Mimi ni kijana mtaratibu na mwenye heshima sana.

Ndio maana naifahamu siasa brother. Hutajuta siku ukinifahamu na ukajua nilishaifanyia nini taifa unaweza niamini.
Kwa muda mfupi nimesoma unachoandika, na jinsi unavyijibu maswali na kujitapa umefanya mengi kwa taifa, nawezasema wewe siyo mtu wa kushika nafasi ya ubunge wa Mwanza. Unatafuta ajira tu!
 
Kwa muda mfupi nimesoma unachoandika, na jinsi unavyijibu maswali na kujitapa umefanya mengi kwa taifa, nawezasema wewe siyo mtu wa kushika nafasi ya ubunge wa Mwanza. Unatafuta ajira tu!
Nakujibu kwa staha nafahamu fika lengo lako.

Naijua michezo yote ya siasa brother.

1. Nina elimu na ujuzi wa miaka 5.

2. Nimejifunza siasa za Tanzania muda usiopungua miaka 10.

3. Nimepata mafunzo ya chama na uongozi pamoja na kuishi katika chama zaidi ya miaka 7.

4. Unahisi Nyamagana itanishinda brother?
 
Chama chochotr eakikupitisha kugom ea wewe! Nahama makazi yangu nyamagana bora niende hata gaboshi kuishi hulo kuliko kuwakilishwa na mtu kama wewe.
 
Chama chochotr eakikupitisha kugom ea wewe! Nahama makazi yangu nyamagana bora niende hata gaboshi kuishi hulo kuliko kuwakilishwa na mtu kama wewe.
Haahaa wewe utakuwa chama kuonea sio bure.

Nikipitishwa na chama changu mtatembea kwa kujikagua nakwambia.
 
CCM hamuna ubavu wa kushindana kwa njia ya kura, subiri kuteuliwa kama wenyeviti wa serekali za mitaa.
 
Haahaa unamjua wewe mwasisi wa vitambulisho vya wamachinga hapa nchini?

Sijakurupuka brother.
Hapa kwenye vitambulisho vya umachinga ndipo ninapokosa hamu ya kuwasikia watoto wa mjini, mlitupiga ishirini ishirini zetu kupitia mradi wenu huu wa vitambulisho na kusepa nazo, mmetuacha tunakimbizana na watendaji mkokimya utafikri siyo ninyi mliotupiga ishirini zetu.
 
Sifungamanishwi na hisia hizo. Mimi niliweka wazo la kuondoa changamoto ya wamachinga kwa kushauri wafanyiwe urasimishaji huduma zao na watambuliwe na mamlaka husika tu baada ya ile hama hama kutoka Tanganyika Bus stand kwenda Nyegezi Bus stand, kutoka Lango lango kwenda Buswelu na kutoka Makoroboi kwenda Kitangiri Market. Rejea kumbukumbu za mwezi 10 mwaka 2016.

Baada ya kutoa mchango wangu na kuanisha nini kifanyike kwa nchi nzima hususani machinga wasisumbuliwe hapa nchini baada ya usumbufu wa mwaka 2016. Nilifurahi kuona wazo langu kuwa mkombozi kwa wamachinga 2018/2019.

NB
Ukumbuke tangu Uhuru mpaka 2019 machinga wameumizwa na usumbufu wakapitia.

Mkiambiwa mabadiliko ni lazima muwe mnaelewa sio kila kitu ndio mwenyekiti na siasa za kujikomba.

Freedom is coming tomorrow no matter what. Wananchi wa Nyamagana wanaenda kupata faraja ya mioyo yao.

Mwanza Nyamagana tumeshafunga mahesabu chama kilichopo madarakani kikafanye biashara nyingine.
 
Mimi nitampigia Mhe. Mabula.
Mwambie Nyamagana hana chake na pale sio sehemu ya majaribio. Mkumbushe mwezi 10 mtoto wa mjini anakabidhiwa jimbo.

Mkipenda utomaso mtaona Mwanza Nyamagana itakavyo simama na Masalu Jacob.
 
NAona kama muonesha niya ana utoto mwiingi!
Utoto upi brother? Mimi nakujibu kutokana na ulivyouliza. Pia naelewa sheria zetu zilivyo nipo makini sana. Sitaweza kuteleza katika hilo au kuanguka katika ujuha.
 
Back
Top Bottom