Uchaguzi 2020 Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Kupitia chama gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana umaskini hauishi..yaan km ww ndo Mb mtarajiwa nahama nchi!u aleta uhuni hapa..mtot wa mjini sasa sisi tufanyeje
 
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Ni mzigua?
 
Back
Top Bottom