Uchaguzi 2020 Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

Unadhihirisha uhuni wako, 26 namba ni kwa wafungwa tena makosa ya kihuni kama mihadarati.... tutake radhi wanaNyamagana.
Haahaa umeninukuu vibaya. Mtoto wa mjini ambaye ni 26 namba kwanza ni mpole, anajua njia zote, mwenye maono na anapenda mafanikio ya watu au jamii yake. Hiyo ndio maana ya 26 namba (tarehe au siku ya kuzaliwa).
 
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Nyamagana sehem gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msukuma kabla ya ubunge alikuwa mwenyekiti CCM mkoa wa geita kibajaji alikuwa mjumbe kamati kuu mkoa sio huyu muhuni anayejiita mtoto wa mjini wakati nyamagana hatumjui
Ubunge ni kazi ya kujitoa kwa jamii sio nafasi ya kazi brother.

Karibu Nyamagana Mwanza.
 
1. Una umri gani?
2. Umeoa au kuolewa?
3. Una familia?
4. Una elimu gani.
5. Ulishawahi kuwa na mchepuko?
6. Watoto/Mtoto wako akiumwa anatibiwa wapi.
7. Wewe mwenyewe ukiumwa uatibiwa wapi?
8. Watoto wako wanasoma shule gani? ( hizi za Serikali au private?)
9. Una ndugu yako yeyote alishawahi kuwa Mbunge/Waziri/Mfanyakazi mwenye nyadhifa kwenye serikali.
10. Kama namba tisa ni YES, alikuwa fisadi au muadilifu.
11. Kama ni Fisadi ulishawahi kumshauri chochote juu ya ufisadi wake, kama familia mlishawahi kumfungulia kesi?
12. Ulishawahi kushitakiwa au kufungwa kwa kosa lolote?
13. Unadai au unadaiwa na Serikali?.
14. Kwanini unadai au hudaiwi na Serikali/
15. Una madeni na mtu yeyote?
16. Kwanini unadai au hudaiwi?
17. Account zako au yako inasoma kiasi gani?
18. Una asset kiasi gani unazozimiliki?
19. Unaweza kuonyesha matatizo kumi ya nyamagana na solutions zake.
20. Wewe binafsi kupitia akili yako au fedha zako utajitolea kufanya nini Nyamagana na wananyamagana wakanufaika.
21. Unakunywa pombe au kuvuta sigara?
22. Vipi wewe ni malaya? kwamaana yakuwa na mahusiano mengi mengi na uwasaidiaje hao unaochepuka nao?
23. Unafikiri chama unachopitia kugombea ubunge kinaweza kuwa msaada kwa wananchi wa Tanzania?
24. Unatumia Condomu kwenye mahusiano yako?
25. Unafikiri una msaada na unaweza kuwasaidia watanzania kupitia Nyamagana?
 
Mimi kusema mtoto wa mjini nina maana sana sibahatishi brother.

Tulia brother mimi ndio mtaalamu mtoto wa mjini Masalu Jacob.
 
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Weka CV ya maana hapa! HAtuhitaji mambo ya mtoto wa mjini au sijui salo balo! Hizi ni enzi za wenye akili badala ya ujanja janja wa mjini kutembea na diary. Siyo mtu aingie Bungeni, hana hata classmate anayeweza kusalimiana naye kiutendaji.
 
CV ipi brother maana ubunge (siasa) sio nafasi ya kazi.

Naomba unieleweshe tafadhali!
 
Back
Top Bottom