Zilikuwa zetu hizo Miaka ya 80 unavaa Viwaloπ halafu unaelekea kwa Mama Muuza na Mikogo dizain hiyo hiyo.Umenikumbusha kiswahili cha Mikogo
Hahahaa sawa MhengaZilikuwa zetu hizo Miaka ya 80 unavaa Viwalo halafu unaelekea kwa Mama Muuza na Mikogo dizain hiyo hiyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]# aliye kati - huyu kwake mahari ili yakamilike lazima pawepo geleni/ dumu la pombe, ni mlevi mbwaa.
# kushoto - ni mkulima wa zamani, anachohitaji yeye ni hela ya pembejeo.
#kulia - mshirikina, atapokea mahari lakini harusi haitofanyika.
π€£π€£ππ€£
Mikono kama anataka kuitupaUkiachana na ufupi, jinsi alivyo tu amekaa kishari shari
Wa kati ndo atavurugaπ€