Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

Sahihi kabisa. Moja ni jizi sugu (CWT). Hili linakula kimasihara tu 2% ya basic salary ya mshahara wa mwalimu aliyeko serikalini kila mwezi. Na hili jizi kwa miaka nenda limekuwa likilindwa na serikali ya ccm!

Kajizi kengine ni hako ka Chakuhawata. Haka ni kajizi kapya kabisa! Mana kameingia rasmi kwenye ulaji mwaka huu wa 2023 kama sijakosea. Na walau haka kajizi kapya kanapendwa na walimu walio wengi, kwa sababu kenyewe kanaiba 5000/= tu kila mwezi kwenye basic salary ya mwalimu mnyonge wa nchi hii.
Hahahaha! Hatari sana. Sasa kama walimu wanashindwa kujipambania, je, wataweza kuzalisha wasomi wenye uwezo wa kuhoji?
 
Ukitoa kujua kiini cha migogoro CWT ni ilo genge la wanasiasa waliokua na mirija cwt sasa imekatwa,ukisoma taarifa hii utajua kwa undani ,faiza fox njoo FaizaFoxy njoo usome huu uzi upate undani ,hapa wameeleza kwa undani
 
Back
Top Bottom