Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

Aiseee utoke dar ukafunge ndoa songwe, ni maamuzi mazito
 
Hongera zao sana, ndoa tamu bhana [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Nini kilijiri kwenye hili penzi? Za ndani zinasema 'huu mji mzito'
 
KWani huyo Godliver ndo yule muigizaji?
Maana na yy ndoa yake imekatika
 
Back
Top Bottom