Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Hilo dhehebu la 🌈 ni matapeli
 
DIni gani hiyo ya kulazimishana?

Marehemu alipinga mambo ya kidunia "Bandari" hakupinga mambo ya kiimani "Dini" huo ni udikteta tu na ubinafsi,

Rest In Peace mwamba,Mungu akupokee na kukuweka pahala pema peponi.
 
Ata wakiristo na viongozi wetu tunaopinga walaka wa papa ni upepo na suala la muda tu ila mwisho wa sku kauri ya PAPA ndo kauli ya kanisa katoliki na ndo kauri ya mwisho
 
Hata kama sijafurahishwa na uamuzi wa kanisa ,nimefurahishwa na kuridhishwa na majibu yako yenye mantiki kiasi cha kuona kanisa liko sahihi kwa mujibu wa kanuni na taratibu zao
 
Hapa ndo utaona utofauti wa hizi dini mbili waislam mtu hata afanye nn ataswaliwa na hauwezi sikia sijui msikiti umemsusa
 
Mimi huwa nashangaa watu wanaohuzunika marehemu wao akikataliwa kufanyiwa ibada na hawa watumishi wa makanisani, kwanini mhuzunike??, hiyo ibada mnayofanya hapo haina impact yoyote kwa marehemu, umebaki mwili tu, yeye hayupo hapo tena ibada ya faida kwake mngemfanyia akiwa bado anavuta pumzi ya uhai.
Huwa napenda ule msemo wa waislamu wanasema"swali kabla hujaswaliwa".
Hizi ibada za marehemu huwa tunafanya tu kufarijiana sisi ambao bado tupo hai, lakini kiukweli marehemu atakayezikwa kwa ibada au bila ibada haina msaada wowote kwake kwa wakati huo.
 
Nazidi kudharau baadhi ya viongozi wa dini.
 
Aliepungukiwa ni kanisa kwa kumpiteza kondoo wake wala marehemu hana haja nao. Imeandikwa, mchunga kondoo mwenye kundoo kumi, akimpoteza mmoja, ataawacha wale tisa na kumtafuta yule aliepotea mpaka ampate.
Lakini si ameokolewa na mitume na manabii walioendesha ibada?
 
Kanisa wakikataa kufanya swala la marehemu ni somo kwa waombelazaji na familia au marafiki husika, yeye keshaondoka siku nyingi
 
Waliokosa ibada ni waombolezaji waliohudhuria maazishi na si marehemu.
Maaskofu waliopinga waraka wa Papa kuhusu kubariki mashoga nao maazishi yao yatasusiwa kwa kupinga waraka wa Papa?
Dawa ni kujiongeza,madhehebu yapo mengi
 
SI KWELI ACHENI KUPOTESHA NYINYI WANASIASA UCHWARA.!!

Hii ni hadithi mpya kwa wanajua taratibu za ibada ya Mazishi ya kikatoliki.

Padre pale Uru hakueleza juu ya TEC, bali taarifa ya Jumuiya yake alikokuwa anaishi ndiyo imeonesha kuwa marehemu hakuwa mshiriki.

Kuhusu pale St. Peter, Oysterbay utaratibu wa kikatoliki sio kutangaza kupitia social media bali kupeleka nyaraka parokiani na kupanga muda.

Sasa wao walitangaza kupitia hizo social media wakaenda wakitegemea wakute milango wazi?

Kanisa linautaratibu ulio sawa kwa watu wote ishu hapo sio waraka bali watu wanapaswa kujitahidi kuishi vizuri kwa kushiriki katika jumuiya zao kama utaratibu wa RC unavyosema.

Huko Uru Padre alieleza mengi pale kwamba hatutakuwepo na Misa, bali aliruhusu ibada ya maziko tuu na hilo halimzuii kwenda mbinguni ila wengine wajifunze maisha ni fumbo.

Hivyo tatizo la marehemu ni kutoshiriki katika Jumuiya yake na wala si Waraka wa TEC kuhusiana na issue ya DP World na Bandari. Wanasiasa uchwara acheni kupotosha wananchi.
 
Cha muhimu amepumzishwa.

Rip Thadei...
 
Wakatoliki nao ni.wasenge kwahiyo hata wasiponizika inaniondolea nafasi yangu ya peponi au motoni? Ninekuwa mimi wasimhekuja tu mbwa hao
 
Wewe huna tofauti na mbwa koko. Unaandika kwa kuchanganya mambo ili kanisa lionekane halifai. Kanisa lina taratibu za kuendesha misa za mazishi ni siyo kila mtu anapata hiyo huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…