Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja braza popomaHaya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.
Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo hovyo wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe.
Jana tu amesaini Club Ismailia ya nchini Misri baada ya Yanga SC kutaka Kumkopa ili wamsajili kwa Mbwembwe na Waweze Kuwakoga wana Simba SC na Kulizima Sakata la Kuporwa Mchezaji waliyekuwa Wakimhitaji mno Fabrice Ngoma anayetegemewa Kutambulishwa rasmi na Simba SC Kesho Jumamosi kwa Taarifa za ndani GENTAMIYCINE nilizozipata.
Haya Pigo la Pili hili Yanga SC na poleni sana na hapo bado mtaomba Pooo....mwaka huu.
Kudadadeki....!!
Kama Aliyekuzaa.Ndiyo maana mtoa mada anafahamika humu jukwaani kama Popoma.
Genta yupo sahihi,Hilo ni pigo ndiyo litaachaje kuwa pigo unadhani,mfano mtu kama aliahidiwa kupewa zawadi ya fedha taslimu na huyo mtu akawa na matarajio ya kupata hizo fedha mpaka akaanza kuzipangia bajeti kabla hajazipata,mara ghafla msaada huo unasitishwa,unadhani mtu huyo anakuwa hajapata pigo?Haya ni matumizi mabaya ya Neno pigo. Ingekuwa mchezaji huyo alikua akiitumikia yanga na akaondoka hapo Neno pigo linakuwa na maana. Lakini hizi tetesi za usajili na wewe kusema ni pigo napata mashaka na uelewa wako.
Pia Ingekua yanga imethibitisha kuwa wamekamilisha usajili Kisha aondoke hapo ni pigo, lakini mpaka Sasa hakuna anaejua namba sita ni nani hata wewe unapopoma tu.
Eti anaomba kabisa na radhi kwa usumbufu wowote!Masahihisho Klabu aliyoenda huyo Mchezaji ni MC Algiers ya nchini Algeria na siyo Club Ismailia ya nchini Misri kama nilivyoitaja hapo Awali.
Naomba Radhi kwa Usumbufu wowote.
Kwani Jamaa yako ukimuwekea ba akakosea na kuiweka backside ( Unyabengani ) mwako Kusikotakiwa hata Kimaandiko huwa hakuombi Radhi?Eti anaomba kabisa na radhi kwa usumbufu wowote!
Aliyekuzaa ameacha Kufanyiwa hivyo lini?Kwa hiyo unataka kusema jamaa zako huwa wanakufanyia hivyo! Halafu baadaye wanakuomba radhi! Na unakubali tu. Aisee pole sana. Kumbe mtoto siyo ridhiki wewe.
Ndiyo silaha yako hii siku zote. Kukimbilia kutukana wazazi. Pambana na mimi ndugu Popoma.Aliyekuzaa ameacha Kufanyiwa hivyo lini?
Bado hujamjuwa huyo namba 6?Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.