Pigo la Pili kwa Yanga SC Mchezaji Namba 6 waliyekuwa wakimtegemea awatosa na amesaini Club Ismailia ya Misri

Tupo pamoja braza popoma


Utopolo maji wataita mmaa
 
Masahihisho Klabu aliyoenda huyo Mchezaji ni MC Algiers ya nchini Algeria na siyo Club Ismailia ya nchini Misri kama nilivyoitaja hapo Awali.

Naomba Radhi kwa Usumbufu wowote.
 
Genta yupo sahihi,Hilo ni pigo ndiyo litaachaje kuwa pigo unadhani,mfano mtu kama aliahidiwa kupewa zawadi ya fedha taslimu na huyo mtu akawa na matarajio ya kupata hizo fedha mpaka akaanza kuzipangia bajeti kabla hajazipata,mara ghafla msaada huo unasitishwa,unadhani mtu huyo anakuwa hajapata pigo?
 
Masahihisho Klabu aliyoenda huyo Mchezaji ni MC Algiers ya nchini Algeria na siyo Club Ismailia ya nchini Misri kama nilivyoitaja hapo Awali.

Naomba Radhi kwa Usumbufu wowote.
Eti anaomba kabisa na radhi kwa usumbufu wowote!
 
Eti anaomba kabisa na radhi kwa usumbufu wowote!
Kwani Jamaa yako ukimuwekea ba akakosea na kuiweka backside ( Unyabengani ) mwako Kusikotakiwa hata Kimaandiko huwa hakuombi Radhi?

Idiot.
 
Kwa hiyo unataka kusema jamaa zako huwa wanakufanyia hivyo! Halafu baadaye wanakuomba radhi! Na unakubali tu. Aisee pole sana. Kumbe mtoto siyo ridhiki wewe.
Aliyekuzaa ameacha Kufanyiwa hivyo lini?
 
Bado hujamjuwa huyo namba 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…